Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,314
- 10,017
jaman naoomba kujua namna ya kufanya kwani jana jion nimeibiwa sim niliweka chaji sehem.
simu ni LG G5 ilikuw na line ya voda 076672326 ambayo mpaka mda huu inapatikana ila haipokelewi inaonekana kutokana na G5 ilivyo aliyeiba ameshidwa kuizima