Msaada, nime Wipe eMMc accidental,how to recover

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Hi guys, by coincidence nime wipe data, nilipobonyeza 'WIPE eMMc, naomba msaada please how to recover my data,maana nimelost CONTACTS,NOTES, PHOTOS,etc
 
Hi guys, by coincidence nime wipe data, nilipobonyeza 'WIPE eMMc, naomba msaada please how to recover my data,maana nimelost CONTACTS,NOTES, PHOTOS,etc
Tafuta data recovery utavipata. Kuna mobisaver, hitman hizi ni za kulipia. Jaribu recuva ni free.
Au ingia playstore humo search data recovery unaweza pata ambayo ni free. Unaweza kuandika sms recovery, photo recovery n.k utainstall kwenye simu
 
Sawa mkuu ahsante,za free ndio mpango,hizi za kulipia noma sana
 
Tafuta data recovery utavipata. Kuna mobisaver, hitman hizi ni za kulipia. Jaribu recuva ni free.
Au ingia playstore humo search data recovery unaweza pata ambayo ni free. Unaweza kuandika sms recovery, photo recovery n.k utainstall kwenye simu
Je vipi Dr.fone haiwezi rudisha mzigo,kwa tecno mobiles
 
Ndo zimeenda hizo, some zuri la kufanya backup kwa vitu muhimu huko mbeleni.
Kama ulikua unatumia google account kwenye Android yako huenda contacts zikapatikana. Kama ulikua unatumia Google Photos huenda picha zitapatikana kama uliwasha backup.
 
Niflash tena wakat nataka nirudishe Data mkuu,maana simu IPO poa haina shida

Ulivyosema emmc ulinichanganya kwasababu mimi ninavyojua emmc ni memory iliyo chomelewa kwenye simu inayobeba operating system ya simu sasa ulivyosema umeiformat nikajua simu haiwaki.

Kama ni memory card iweke kwenye computer download program inayoitwa easeus data recovery full version ujaribu kuvirudisha.

Kama ni memory ya internal ya simu download gt recovery kutoka google play store lakini hizi program zote zinarudisha vitu kama hauja copy vitu vingi kuingia na kutoka kwenye hiyo memory( yaani tokea umeiformat kama umeendelea kuitumia au la)
 
ok kama ni wipe tu (even if wipe is quietly strange than format/delete) basi tafuta data recovery softaware as other recommended hapo juu recovery hizo data

but
NOTE:
PHONE MUST BE ROOTED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom