Msaada; Nilisubmit cheti feki, sasa ninacho original

peleka og mkuu, wakukamate uwe wa mfano. yaani una og ila ukachonga feki mkuu

nenda uwasaidie kuwaeleza mnachongesha wapi vyeti.
 
Wonders shall never cease in Tanzania.

Someone ought to make a TV show or a comedy movie about this.

Too much hilarity to be wasted.
 
Wakuu,

Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo katika matokeo na cheti halisi.

Sasa orodha imetoka na nimejumuishwa, hivyo nimepigania kukifuata cheti changu OG na nimefanikiwa kukipata.

Hivyo nakuombeni JF mnaoelewa suala hili, nimefikiria kukata rufaa ili niweze toa cheti changu halisi na kazi yangu na hali irejee katika hali ya kawaida.

Naombeni mawazo yenu please

Kwanini ulifanya udanganyifu wakati unauwezo wa kupata cheti halisi? Utavuna ulichopanda
 
Wakuu,

Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo katika matokeo na cheti halisi.

Sasa orodha imetoka na nimejumuishwa, hivyo nimepigania kukifuata cheti changu OG na nimefanikiwa kukipata.

Hivyo nakuombeni JF mnaoelewa suala hili, nimefikiria kukata rufaa ili niweze toa cheti changu halisi na kazi yangu na hali irejee katika hali ya kawaida.

Naombeni mawazo yenu please
Utata mtupu!Yumkini hata hicho cha pili ni fake.Angalia usije ukafungwa miaka saba.Nenda tu ukalime matikiti.
 
Wakuu,

Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo katika matokeo na cheti halisi.

Sasa orodha imetoka na nimejumuishwa, hivyo nimepigania kukifuata cheti changu OG na nimefanikiwa kukipata.

Hivyo nakuombeni JF mnaoelewa suala hili, nimefikiria kukata rufaa ili niweze toa cheti changu halisi na kazi yangu na hali irejee katika hali ya kawaida.

Naombeni mawazo yenu please

hila swala ndo lililofsnywa na watumishi wengi mtu ana F ya somo anaenda kuboresha cheti ili apate nafasi ya kwenda kusoma , matokeo yake anakuwa na vyeti viwili chenye F na chenye D , na kwenye kusubmitt amepeleka hicho chenye D , hapo ndo mtigo ulipo
 
Wakuu,

Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo katika matokeo na cheti halisi.

Sasa orodha imetoka na nimejumuishwa, hivyo nimepigania kukifuata cheti changu OG na nimefanikiwa kukipata.

Hivyo nakuombeni JF mnaoelewa suala hili, nimefikiria kukata rufaa ili niweze toa cheti changu halisi na kazi yangu na hali irejee katika hali ya kawaida.

Naombeni mawazo yenu please
Embu jeleze vizuri kwanza. Eti ulisabmit cheti feki chenye matokeo yako halisi na jina lako halisi lakini kilikuwa feki na sasa umepata cheti OG! unamaanisha nini? Kama matokeo na jina ndiyo yaliyoko kwenye cheti OG nini kilikuwa feki kwenye hicho cheti cha kwanza ulichosubmit? nijibu kwanza nikushauri.
 
Hiyo maana yako ya 'fake' ni photocopy?
 
Embu jeleze vizuri kwanza. Eti ulisabmit cheti feki chenye matokeo yako halisi na jina lako halisi lakini kilikuwa feki na sasa umepata cheti OG! unamaanisha nini? Kama matokeo na jina ndiyo yaliyoko kwenye cheti OG nini kilikuwa feki kwenye hicho cheti cha kwanza ulichosubmit? nijibu kwanza nikushauri.
Anamaanisha aliboresha, F akaweka B ili ajaribu kuendana na requirement ya hiyo nafasi ya kazi..
Sasa ndo hivyo majuto ni mjukuu.. Mkuu umekula mishahara ya kutosha ingawa hukustahili.. Samahani sana kapumzike tu.. Mnatutia hasira.. Mliziba nafasi zetu nanyi nendeni mkaishi maisha magumu!
 
Wamesema ukikata rufaa, hakikisha unaambatanisha na cheti kilekile ulichopeleka mwanzo ambacho kimekufikisha kutumbuliwa, ili kihakikiwe, na sio kupeleka kingine. Ukipeleka kingine utatafuta majanga![emoji85] [emoji85]
 
We nenda tu mtajuana huko huko mkuu. Endapo ukihukumiwa kufungwa basi omba japo dakika kadhaa ili utupe mrejesho JF.
 
Hapo naona unatafuta kufungwa, shukuru Mungu umekula hata hivyo vimishahara vichache, kwa sasa potezea na utafute shughuli nyingine ya kufanya
 
Wakuu,

Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo katika matokeo na cheti halisi.

Sasa orodha imetoka na nimejumuishwa, hivyo nimepigania kukifuata cheti changu OG na nimefanikiwa kukipata.

Hivyo nakuombeni JF mnaoelewa suala hili, nimefikiria kukata rufaa ili niweze toa cheti changu halisi na kazi yangu na hali irejee katika hali ya kawaida.

Naombeni mawazo yenu please
Appeal
 
Kwani mkuu kwa mfano ukipoteza cheti original ukaenda kuchonga kingine kwa wataalamu kama kile kile usibadilishe hata kitu kimoja vipi ni rahisi kujulikana hicho cheti.
Embu jeleze vizuri kwanza. Eti ulisabmit cheti feki chenye matokeo yako halisi na jina lako halisi lakini kilikuwa feki na sasa umepata cheti OG! unamaanisha nini? Kama matokeo na jina ndiyo yaliyoko kwenye cheti OG nini kilikuwa feki kwenye hicho cheti cha kwanza ulichosubmit? nijibu kwanza nikushauri.
 
Kwani mkuu kwa mfano ukipoteza cheti original ukaenda kuchonga kingine kwa wataalamu kama kile kile usibadilishe hata kitu kimoja vipi ni rahisi kujulikana hicho cheti.
Ni rahisi sana kujulikana kwani kila cheti kinakuwa na alama sa kiusalama. Chukua cheti chako kielekeze kwenye mwanga halafu angalia utaziona hizo alama ambazo mara nyingi utaziona zinajirudiarudia. Ila kwenye ukaguzi wa kawaida kama ule uliofanywa kwa watumishi wa serikali walichokuwa wanafanya ni kuoanisha taarifa kwenye cheti ulichawasilisha na taarifa zilizopo NECTA pamoja na taarifa zako binafsi kama vile cheti cha kuzaliwa. Zikitofautiana ndio ufeki unaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom