Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 165
- 122
Habari zenu ndugu zangu wanajf! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yenyewe.
Ukweli ni kwamba, Mnamo tarehe 13/10/2014 nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood. Nilikua natokea moro kuingia Dar, nilikuja kujua na kutambua ya kwamba sikua na bag ni baada ya kufika ubungo.
Ndani ya bag kulikua na laptop, vitambulisho vyangu (nhif, psptb, driving license, kitambulisho cha mdogo wangu mali ya university of Dar es salaam) pia lilikua na picha zangu mbili, fungua za Gheto langu, statement result yangu, flash nne (3 ni 4GB na 1 ni 1GB) nk.
Kama kuna Mwanajamiiforums atakuwa ameviona popote tafadhali naomba nifahamishe ama vipileke kwenye kituo chochote cha polisi ama kwenye ofisi yeyote inayohusiana na document zangu.
Ninaitwa EMMANUEL MKWAMA
Kwa mawasiliano napatikanika katika namba zifuatazo 0717568496 / 0786758268
email natumia, emkwama@ymail.com
emkwama@gmail.com