Msaada: Niliagiza mzigo kupitia Fedex

Msaada: Niliagiza mzigo kupitia Fedex

homomorphism

Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
81
Reaction score
80
Niliagiza mzigo kutoka U.S.A kupitia Fedex, leo nime track naambiwa mzigo umefika Dar es salaam, clearance instruction from importer are requred.
Nini natakiwa kufanya pia hizi instruction nampa nani na ni instruction zipi.
Angalia attachment hapa chini[emoji116]
Adjustments.jpg
 
View attachment 1538778

FedEx hawajanipigia simu na kila nikiwapigia hawapokei
 
Nini natakiwa kufanya pia hizi instruction nampa nani na ni instruction zipi.
- Wapigie simu Fedex
- Wape tracking namba zako, ili watambue mzigo wako
- Watakueleza nini na nini inatakiwa kifanyike ili clearance iendelee
- Kwa kawaida ilitakiwa wao ndio wakupigie simu.
Jiandae kulipia gharama za
- VAT/ TAX
- Clearance fee

Watakujulisha na watakupa mchanganuo mzima.
 
Mzigo ni wa dollar 50 ada kuutoa niandae sh ngap maana umenistua
 
- Wapigie simu Fedex
- Wape tracking namba zako, ili watambue mzigo wako
- Watakueleza nini na nini inatakiwa kifanyike ili clearance iendelee
- Kwa kawaida ilitakiwa wao ndio wakupigie simu.
Jiandae kulipia gharama za
- VAT/ TAX
- Clearance fee

Watakujulisha na watakupa mchanganuo mzima.
1597558379786.png

Anwani yao hiyo hapo na namba ya simu
 
Tumia facebook page yao kuwasaliana nao nadhani itakusaidia.
 
  • Wapigie simu Fedex
  • Wape tracking namba zako, ili watambue mzigo wako
  • Watakueleza nini na nini inatakiwa kifanyike ili clearance iendelee
  • Kwa kawaida ilitakiwa wao ndio wakupigie simu.
Jiandae kulipia gharama za
  • VAT/ TAX
  • Clearance fee sawa kabs

Back
Top Bottom