Msaada: Nikikopesha mtu fedha sina bahati ya kurejeshewa

Msaada: Nikikopesha mtu fedha sina bahati ya kurejeshewa

Wee km mim, hadi wakat mwingine naona siwez kumkopesha mtu.

Mkuu watanzania weusi wengi hawakopesheki.Ndio maana hata mabenki husita kutoa mikopo kwa waswahili.Si kuwa hawakopesheki kuwa hawakopesheki shida kubwa ni uaminifu.Ndio maana na riba huwa juu sehemu ambako uaminifu ni mdogo.

Hii inaleta shida hata kwa waswahili kupata tenda na kuzimudu.mfano unashindana tena na mhindi ya kusupply stationery.Wenye tenda wanasema lete kwanza labda stationery labda tuchuklulie za shule zote za msingi na sekondary tanzania kwa mwaka mzima tutakulipa baada ya kuleta.Mswahili hiyo tenda atahangaika sababu akitafuta mkopo kwa mswahili ngumu kupata hatuaminiani!! Kwa hiyo anaenda benki.Benki wanamwambia lete dhamana nk anahaha

Muhindi akipata tenda anachukua mikataba iliyosainiwa anapelekea wahindi wauza stationary za jumla na waagizaji nje stationary wanampa mzigo wote autakao akilipwa anawalipa chao biashara imeisha wanaangalia biashara ingine.Kwa waswahili ukimpa mzigo anauza na pesa kukulipa kesi hadi ifike mahakama ya rufaa!! Nadhani tunahitaji taasisi (NGO) za kuelimisha jamii kuhusiana na uaminifu hasa katika ukopaji na ulipaji.Hili tatizo la kukopa na kutolipa ni donda ndugu kubwa kwenye jamii zetu liko mjini hadi vijijini.Unatuma pesa mtu akulimie shamba anajikopesha anazitafuna halipi kwa kukulimia hilo shamba.Watu wamezira kulima mashamba kwa tigopesa,mpesa ambapo unatuma pesa shamba lilimwe halilimwi wala kuvunwa na pesa zimeondoka.
 
Mkuu watanzania weusi wengi hawakopesheki.Ndio maana hata mabenki husita kutoa mikopo kwa waswahili.Si kuwa hawakopesheki kuwa hawakopesheki shida kubwa ni uaminifu.Ndio maana na riba huwa juu sehemu ambako uaminifu ni mdogo.

Hii inaleta shida hata kwa waswahili kupata tenda na kuzimudu.mfano unashindana tena na mhindi ya kusupply stationery.Wenye tenda wanasema lete kwanza labda stationery labda tuchuklulie za shule zote za msingi na sekondary tanzania kwa mwaka mzima tutakulipa baada ya kuleta.Mswahili hiyo tenda atahangaika sanbabu akitafuta mkopo kwa mswahili ngumu kupata hatuaminiani!! Kwa hiyo anaenda benki.Benki wanamwambia lete dhamana nk anahaha

Muhindi akipata tenda anachukua mikataba iliyosainiwa anapelekea wahindi wauza styationary za jumla na waagizaji nje statrionary wanampa mzigo wote autakao akilipwa anawalipa chao biashara imeisha wanaangalia biashara ingine.Kwa waswahili ukimpa mzigo anauza na pesa kukulipa kesi hadi ifike mahakama ya rufaa!! Nadhani tunahitaji taasisi (NGO) za kuelimisha jamii kuhusiana na uaminifu hasa katika ukopaji na ulipaji.Hili tatizo la kukopa na kutolipa ni donda ndugu kubwa kwenye jamii zetu liko mjini hadi vijijini.Unatuma pesa mtu akulimie shamba anajikopesha anazitafuna halipi kwa kukulimia hilo shamba.Watu wamezira kulima mashamba kwa tigopesa,mpesa ambapo unatuma pesa shamba lilimwe halilimwi wala kuvunwa na pesa zimeondoka.
Inabidi tujisahihishe huu uswahili unaturudisha sana nyuma.
 
Ndo usimkopeshe mtu tena labda uamue kumsaidia kwa moyo wako tu
 
Nikopeshe mimi mkuu nitafungua hiyo milango iliyofungwa ya kurushwa.
 
Wee km mim, hadi wakat mwingine naona siwez kumkopesha mtu.
Mimi pia nina tatizo hilo. Nikikopesha silipwi labda hadi kuvunja undugu na urafiki. Yaani iwe vita kabisa. Halafu viwango wanavyotaka niwakopeshe sasa huwezi amini, vikubwa. Huwa najiuliza wananionaje hawa!! Mimi nikikopa hata shilingi hamsini lazima nilipe!!!
 
Hiyo tabia ya kukopa na kutolipa ndio imefanya watanzania wengi kuwa maskini.Wahindi na waarabu wameendelea sana sababu hukopeshana na kulipana ndio mfumo wao wa maisha.Ukiwa na duka unaenda kwa muhindi au mwarabu mwenzio anakujazia bidhaa duka zima hata liwe la jumla kwa mkopo unalipa taratibu kadri unavyouza.Mtaji wa mhindi na mwarabu ni uaminifu tu mtaji ambao watanzania wengi tunaudharau wakati ndio mtaji mkuu kuliko mitaji yote.

Waarabu na wahindi hukopeshana hadi mabilioni bila kuandikiana popote na hulipana.Mswahili ukimkompesha ukimpeleka hata mahakamani yeye anajifanya ndio mjanja kuwa siku uliponikopesha uklinipiga picha,onyesha picha.Yaani ni taabu tupu.

Kama tusipowaiga wahindi na waarabu kwa uaminifu wa kukopa na kulipa hatufiki mbali kama nchi,familia au marafiki.

WENZETU akitaka kuanzisha duka au kituo cha mafuta anaenda kwa mhindi mwenzie au mwarabu mwenzie mwenye mali za jumla anamjazia petrol station yake au ghala la duka anaanza biashara kwa kuwa kiwango cha uaminifu kiko juu mno.

Uko sahihi kabisa, waarabu na wahindi staili ya uaminifu ni nzuri sana, naona hata wapemba nao ni wazuri...asilimia kubwa hata ya waarabu wanaouza mafuta huwa mzigo wanapewa mali kauli ila mpe mswahili sasa....
 
Wakuu hii hali sasa imekua mbaya, huwa nikimkopesha mtu fedha iwe kubwa au ndogo hata awe mtu wa karibu kiasi gani au awe na uwezo kiasi gani jambo mojawapo kati ya matatu hutokea:
1. Kudhurumiwa fedha hiyo kabisa.
2. Kunilipa nusu nusu baada ya kusumbuana kwa muda mrefu.
3. Kucheleweshewa kwa muda mrefu sana.
Mpaka sasa nikikopesha na assume nimetoa sadaka kwa sababu hata nidai vipi huwa sirudishiwi kwa muda nilioahidiwa.
Mimi nikikopa fedha kwa mtu narudisha hata nikikwama kidogo nitamuomba mhusika radhi ila kwangu ni kinyume cha hayo.
Hili ni jambo la muda mrefu sana mpaka nimeamua kuandika hapa ni kwamba nimeona linanitesa sana na huwezi kuishi bila kusaidiana na watu.
Naomba kupata msaada kama situation hii ni kwangu tu au manake ni miaka mingi nimevumilia hali hii.
Ukiona hivo unazo pesa nyingi, siku ukiwa huna na unategemea hiyo hiyo utajua namna ya kudai
 
Wakuu hii hali sasa imekua mbaya, huwa nikimkopesha mtu fedha iwe kubwa au ndogo hata awe mtu wa karibu kiasi gani au awe na uwezo kiasi gani jambo mojawapo kati ya matatu hutokea:
1. Kudhurumiwa fedha hiyo kabisa.
2. Kunilipa nusu nusu baada ya kusumbuana kwa muda mrefu.
3. Kucheleweshewa kwa muda mrefu sana.
Mpaka sasa nikikopesha na assume nimetoa sadaka kwa sababu hata nidai vipi huwa sirudishiwi kwa muda nilioahidiwa.
Mimi nikikopa fedha kwa mtu narudisha hata nikikwama kidogo nitamuomba mhusika radhi ila kwangu ni kinyume cha hayo.
Hili ni jambo la muda mrefu sana mpaka nimeamua kuandika hapa ni kwamba nimeona linanitesa sana na huwezi kuishi bila kusaidiana na watu.
Naomba kupata msaada kama situation hii ni kwangu tu au manake ni miaka mingi nimevumilia hali hii.
Mkuu em kama una ka mirihoni mbili nikopee kwanza wakati tunaendelea kufikilia tunafanyaje kuhusu hili suala
 
Kopesha mademu tu. At least asipolipa anaweza kukufaa kwa chumvi.
 
Back
Top Bottom