Msaada: Nikikopesha mtu fedha sina bahati ya kurejeshewa

Naungana na mleta mada, kwa kweli hilo ni tatizo utakuta mtu akiwa na shida anakuja mikono nyuma anaomba umkopeshe kiasi cha fedha, sasa ukimpa tu na akimaliza shida zake anaanza 'maigizo' na utakuta uwezo wa kurejesha deni anao ila basi tu!
 
Chukua vitu vyao vya thamani kabla kama dhamana. Lakini pia yamkini hujatoa sadaka muda mrefu so jitafakari
 
Wee km mim, hadi wakat mwingine naona siwez kumkopesha mtu.
 
Chukua vitu vyao vya thamani kabla kama dhamana. Lakini pia yamkini hujatoa sadaka muda mrefu so jitafakari
Mkuu mtu anauguliwa na mgonjwa anaomba umpe tauro unabeba sabufa!!!!.

Mambo mengine ni ya kuachia Mungu tu, afadhari umnyime tu kama humwamini.
 
Wapumbavu sana, hapa nadai pesa watu wanne toka mwaka jana, hawataki kunilipa, mmoja laki saba. hivi manavokuja kukopa mbona mnajifanya wapole na wenye shida. ofcourse kuacha kukopesha kabisa nayo ni ngumu ila inabidi sasa mtu akitaka kukopa alete kitu chenye thamani sawa au zaidi ya pesa anayotaka kukopa
 
wema usizidi uwezo!
tatizo wema wenu/utu unazidi uwezo
nikopeshe mimi ntakulipa[emoji46][emoji46]
 
Wakuu hii hali sasa imekua mbaya, huwa nikimkopesha mtu fedha iwe kubwa au ndogo hata awe mtu wa karibu kiasi gani au awe na uwezo kiasi gani jambo mojawapo kati ya matatu hutokea:
1. Kudhurumiwa fedha hiyo kabisa.
2. Kunilipa nusu nusu baada ya kusumbuana kwa muda mrefu.
3. Kucheleweshewa kwa muda mrefu sana.
Mpaka sasa nikikopesha na assume nimetoa sadaka kwa sababu hata nidai vipi huwa sirudishiwi kwa muda nilioahidiwa.
Mimi nikikopa fedha kwa mtu narudisha hata nikikwama kidogo nitamuomba mhusika radhi ila kwangu ni kinyume cha hayo.
Hili ni jambo la muda mrefu sana mpaka nimeamua kuandika hapa ni kwamba nimeona linanitesa sana na huwezi kuishi bila kusaidiana na watu.
Naomba kupata msaada kama situation hii ni kwangu tu au manake ni miaka mingi nimevumilia hali hii.
Basi considering umetoa msaada
 
Daah!
Nikiwakopesha wanakata mawasiliano!
Dawa kuacha
 
Jmn huko peke yako nimeshatoa hizo sadaka mpka naona mungu ananiambia kwa nn hukuitoa kanisan .....mana imekuwa kero jmn. Hili nalo ni jipu
 
Wakuu hii hali sasa imekua mbaya, huwa nikimkopesha mtu fedha iwe kubwa au ndogo hata awe mtu wa karibu kiasi gani au awe na uwezo kiasi gani jambo mojawapo kati ya matatu hutokea:
1. Kudhurumiwa fedha hiyo kabisa.
2. Kunilipa nusu nusu baada ya kusumbuana kwa muda mrefu.
3. Kucheleweshewa kwa muda mrefu sana.
Mpaka sasa nikikopesha na assume nimetoa sadaka kwa sababu hata nidai vipi huwa sirudishiwi kwa muda nilioahidiwa.
Mimi nikikopa fedha kwa mtu narudisha hata nikikwama kidogo nitamuomba mhusika radhi ila kwangu ni kinyume cha hayo.
Hili ni jambo la muda mrefu sana mpaka nimeamua kuandika hapa ni kwamba nimeona linanitesa sana na huwezi kuishi bila kusaidiana na watu.
Naomba kupata msaada kama situation hii ni kwangu tu au manake ni miaka mingi nimevumilia hali hii.
the same as me. imefikia badala ya kukopesha ni na mtransfer kwa mtu mwingine. ikishindikana natoa kama msaada. Nimekosana na marafiki na ndigu zangu wengi kweli. siku hizi ninatoa msaada sina sina Basi!
 
Uaminifu ni shida kwetu waafrica MTU anakuwa mzuri akishakuwa na shida tu
 
Waambie sina ngoja nikuombee au nikudhamini Kwa Jamaa yangu asijue we ndo unatoa
 
Wakuu hii hali sasa imekua mbaya, huwa nikimkopesha mtu fedha iwe kubwa au ndogo hata awe mtu wa karibu kiasi gani au awe na uwezo kiasi gani jambo mojawapo kati ya matatu hutokea:
1. Kudhurumiwa fedha hiyo kabisa.
2. Kunilipa nusu nusu baada ya kusumbuana kwa muda mrefu.
3. Kucheleweshewa kwa muda mrefu sana.
Mpaka sasa nikikopesha na assume nimetoa sadaka kwa sababu hata nidai vipi huwa sirudishiwi kwa muda nilioahidiwa.
Mimi nikikopa fedha kwa mtu narudisha hata nikikwama kidogo nitamuomba mhusika radhi ila kwangu ni kinyume cha hayo.
Hili ni jambo la muda mrefu sana mpaka nimeamua kuandika hapa ni kwamba nimeona linanitesa sana na huwezi kuishi bila kusaidiana na watu.
Naomba kupata msaada kama situation hii ni kwangu tu au manake ni miaka mingi nimevumilia hali hii.
Kama mm tu adi sikuizi naogopa kukopesha watu
 
Mtu akiwa na shida anavyoomba hata kama uliapa kutokukopesha unaingiwa na roho ya imani unamkopesha.
Shida kwenye kulipa mbona utajuta tena mwingine ukimuuliza anakujibu vibaya anasahau alivyokuwa amekuja mnyonge.
Kwa hasira unaweza jikuta unagombana nae
 
ni kweli huwa inakera sana. ila wakati mwingine inabidi ujikaze uende anapoishi mdaiwa wako zungumza naye akishindwa kulipa ondoka na kitu chake chochote cha thamani kinachoendana na hilo deni. hii inasaidia kuondoa maumivu ya kupoteza
 
Hapa kila mtu analalamika harudishiwi, mbona wasiorudisha hawajitokezi?
 
Nilikopesha rafiki yangu wa karibu pesa ,yeye kila ikifika mwisho wa mwezi anajisingizia matatizo mara ugonjwa mara hivi,nimedai hajalipa hata mia,nimeamua muacha atalipa akijiskia,japo naumia vile huwa nawalipa niliowakopa kwa muda,binadam ni changamoto sana
 
Mimi nilimkopesha mtu shilingi elfu 2 mwaka 2010 nimekutana naye kituo cha daladala akasema nakupa kesho hakunipa hadi wiki iliyopita kaja anaumwa akasema sina hela elfu 10 ya matibabu napita kuchangisha watu wa kunisaidia kununua dawa.Nikamwambia na mimi nachangia.Nikamwambia ILe elfu 2 niliyokukopesha 2010 ndio mchango wangu wa matibabu yako usinirudishie kachangishe wengine elfu 8 zilizobaki.Akaanza kulia nikaondoka mbio bila hata kumwangalia mara ya pili.
 
Back
Top Bottom