Mkuu unauliza wakati printer imeandikwa kazi zake.
Kwanza ni photosmart yaani inaweza kuprint picha.
Inaweza kuprint karatasi za kawaida.
Inaweza kufanya scanning.
Inaweza kufanya photocopying (copying).
Unaweza kuprint hata bila kutumia cable ya ku connect kwenye computer yaani unatumia wireless.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.