Architects husota mwaka mzima 1st yr kufanya hiyo perspective drawing, na bado wengi hutoka kapaUCHORAJI NI SOMO PANA NA MUHIMU MNO:
Sasa je unataka kuchora nini?
Anza hapa:
Mchoro ni nini; Mchoro /Uchoraji ni lugha inayotumika kuwasilisha mawazo,ubunifu na aina yoyote ya fikra kwa mlengwa.
Aina za uchoraji ziko kuu mbili;
1.Uchoraji wa picha/ Pictorial Drawing
2.Uchoraji wa Ramani/ Orthogonal Drawing(Orthographic Projection)
Aina za Pictorial Drawing ziko nne;
i)Isometric drawing
ii)Oblique drawing
iii)Axonometric drawing
iv)Persective drawing
NB: Perpective drawing ndio uchoraji wa picha halisi ya kitu ..iwe mtu,mti,gari n.k
Kazi hii pia ndio inayofanywa na Camera.
Aina za uchoraji Ramani (Orthogonal Drawing)ziko tatu;
i) First Angle Projection
ii) Third Angle Projection
iii)Combine (First & Third)
Sasa lazima ujue ww mwenyewe unataka kuingia au kujifunza kuchora kitu gani specific.
NB: Asili ya somo hili ni Greece (Ugiriki) kwahiyo hata Terminologies zake ni za Kigiriki.
Karibu kwa maswali na ushauri!
muone masoud kipanya na kijast Nathan watakufundisha hatua za uchorajiNdugu zangu nifundisheni kanuni, skills au mbinu za kuchora kitu chochote
Mf. Picha ya mwanamke mzuri,
Picha za wanyama kama tembo, vitu kama nyumba na miti.
Nitafurahi san nikiwez kuchora kwa kujiamini kapo (age go) umri ushaenda
Thanks
Hao wachora vikatuni wanajua principles za kuchora picha mnato kama imepigwa na kamera? (Perspectives)muone masoud kipanya na kijast Nathan watakufundisha hatua za uchoraji
VIP kuhusu fine art?UCHORAJI NI SOMO PANA NA MUHIMU MNO:
Sasa je unataka kuchora nini?
Anza hapa:
Mchoro ni nini; Mchoro /Uchoraji ni lugha inayotumika kuwasilisha mawazo,ubunifu na aina yoyote ya fikra kwa mlengwa.
Aina za uchoraji ziko kuu mbili;
1.Uchoraji wa picha/ Pictorial Drawing
2.Uchoraji wa Ramani/ Orthogonal Drawing(Orthographic Projection)
Aina za Pictorial Drawing ziko nne;
i)Isometric drawing
ii)Oblique drawing
iii)Axonometric drawing
iv)Persective drawing
NB: Perpective drawing ndio uchoraji wa picha halisi ya kitu ..iwe mtu,mti,gari n.k
Kazi hii pia ndio inayofanywa na Camera.
Aina za uchoraji Ramani (Orthogonal Drawing)ziko tatu;
i) First Angle Projection
ii) Third Angle Projection
iii)Combine (First & Third)
Sasa lazima ujue ww mwenyewe unataka kuingia au kujifunza kuchora kitu gani specific.
NB: Asili ya somo hili ni Greece (Ugiriki) kwahiyo hata Terminologies zake ni za Kigiriki.
Karibu kwa maswali na ushauri!
Anza kwa kuwachora hawa wabunge
Chora na haya magari
Fine Art ndio Perspective drawingVIP kuhusu fine art?
Tatizo la somo la kuchora ni namna ya kulisoma.Kusoma kwake ni lazima uchore/u-practice sana kwahiyo Google au Yu tube hatopata msaada sana.Mi nadhan ungeenda google au u tube
Hornet,Vitu vingine huja automatic aisee