MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Nilikuwa nina app ya fb kama wiki iloyopita nikaifuta kwa simu yangu sasa hivi ndio ninataka kuirudisha kila nikidownload wakati wa ku install inazingua tatizo lipo wapi hadi messenger na yenyewe hivyo hivyo naombeni msaada