Msaada: Nifanyeje niwe vizuri kwenye socialization

Msaada: Nifanyeje niwe vizuri kwenye socialization

Mdogo wangu kwa dunia ya sasa unajitafutia matatizo jua kwamba unapokaribisha kujuana na mtu basi ujue pia umekaribisha mazingira ya kugombana na huyo mtu,cheko na tabasamu zao zisikudanganye mdogo wangu utakuja kuumia bure.Kama wewe ni kauzu endelea kua kauzu hivyo hivyo coz salaam tu inatosha sio kila mtu ni wakusocialize nae,nilikua kauzu nikasema ngoja niwe social lakini matatizo niliyopata nimeamua kua zaidi ya kauzu kama zamani na nashukuru mungu matatizo yamepungua
 
Wakuu mimi kusalimia nasalimia but nkikaa na watu au mtu ambaye sijamzoea mara nyingi napenda kua kimya tu sipendi kuongea nakaaga kimya tu
kama hujawazoea ni sawa kukaa kimya....ila kama nioffice sio kwamba uongee tu no angalia mazingira cope a watu walivo....
 
Back
Top Bottom