Msaada: Nifanyeje niwe vizuri kwenye socialization

Msaada: Nifanyeje niwe vizuri kwenye socialization

eretzisrael

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
331
Reaction score
474
Habari zenu,

Mimi ni kijana wa miaka 22 nina tatizo moja, am so poor in socialization, nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka, tatizo hili limefanya baadhi ya watu wadhani labda nina dharau au kiburi, nifanyeje kutatua tatizo hili.

Natanguliza shukrani
 
Habari zenu..mimi ni kijana wa miaka 22 nna tatizo moja am so poor in socialization...nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka...tatzo hili limefanya baadhi ya watu wadhani labda nna dharau au kiburi...nifanyeje kutatua tatizo hili...natanguliza shukrani
Kujitambua ni tiba no 1 , wakati no 2 ni kuitambua hadhira kwa haraka then cope up na deliver kinachohitajika. No 3 jifunze lugha za masikhara masikhara huwa njia nzuri sana kuwazoea watu, hakuna kundi lisilohitaji kitu hii. Ila unapo lazimika kuzungumza point pia usimamie point ili kujenga heshima yako. Ni hayo...
 
Jaribu hata kuwapa smile mara kwa mara sio kununa nuna kama vile wanaboa na usisahau kuwasalimia. Wanapoongea cha kufanya wote wacheke basi smile hata kidogo na sema neno lisilo yes au no. Ila liwe kama vizuri, oh ok, wow, etc inatosha hadi ujichangamshe

Umuhimu ukija kujua kuongea usiongee sanaaaaa, ni viziri ulivyo lakini kidogo ongeza kama juu. Na uongee kwa kusoma mood za watu sio kuropoka tu.

Hahahaaa mimi nakuambia ila sijui upole kiaina, mtu kama wewe nitakusoma na kujua ni upole au majivuno bila tabu. Nina uongozi wa kuanzisha mazungumzo, wenye mafanikio makubwa na watu huwa hawanichoki. labda mtu awe na wivu na mimi
 
Kama una jaribu kuwafurahisha au una jaribu kujibadilisha kwa ajili ya watu mkuu utakula hasara. Zamani nilikuwa napenda sana kusmile watu wakaanza majungu, kama natangaza biashara ya Colgate. Nikasema niwe na sura ngumu eehh watu wakapiga majungu oohh utazeeka siku si zako. Hapa nilipo naishi ninavyoona mimi mwenyewe poa tu.

Ndukiiiii
 
Jaribu hata kuwapa smile mara kwa mara sio kununa nuna kama vile wanaboa na usisahau kuwasalimia. Wanapoongea cha kufanya wote wacheke basi smile hata kidogo na sema neno lisilo yes au no. Ila liwe kama vizuri, oh ok, wow, etc inatosha hadi ujichangamshe

Umuhimu ukija kujua kuongea usiongee sanaaaaa, ni viziri ulivyo lakini kidogo ongeza kama juu. Na uongee kwa kusoma mood za watu sio kuropoka tu.

Hahahaaa mimi nakuambia ila sijui upole kiaina, mtu kama wewe nitakusoma na kujua ni upole au majivuno bila tabu. Nina uongozi wa kuanzisha mazungumzo, wenye mafanikio makubwa na watu huwa hawanichoki. labda mtu awe na wivu na mimi
Kila muda akenue si ataoneka mtambo
 
Wakuu mimi kusalimia nasalimia but nkikaa na watu au mtu ambaye sijamzoea mara nyingi napenda kua kimya tu sipendi kuongea nakaaga kimya tu
 
Kwani unajipanga kugombea 2020 mkuu.
Dunia hii utawaweza binadamu fanya yako pasipo kwenda kinyume na matakwa ya jamii husika acha kutafuta kuwa socializer ni kosa kubwa.
 
Nakumbuka pind npo school naandikwa jina kwa kosa LA kupiga kelele hata nkishinda
 
Wakuu mimi kusalimia nasalimia but nkikaa na watu au mtu ambaye sijamzoea mara nyingi napenda kua kimya tu sipendi kuongea nakaaga kimya tu
Ishi utakavyo mkuu, huwezi kumfurahisha kila mmoja, kwani kuwa kwako kimya kuna kunakuathiri nini?
 
Utateseka bure , wewe uko hivyo kwa jinsi ulivyoumbwa na Mora. Kujitahidi kukopy tabia au Hali Fulani isiyo yako ni kujiua na kuua kipaji chako. Don't imitate, never! No one is like you. So don't be like them.
 
Habari zenu..mimi ni kijana wa miaka 22 nna tatizo moja am so poor in socialization...nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka...tatzo hili limefanya baadhi ya watu wadhani labda nna dharau au kiburi...nifanyeje kutatua tatizo hili...natanguliza shukrani
Read,read, read...read books my dear.
You will thank me later.Books abt socialization.
 
kukaa kimya bonge la advantage,,,!!
you get to learn alot from people...
their habits, weaknesses, addictions.....
na hata ukiskia dili kisha ukafata mtu pembeni ni rahisi kupata maana unaonekana mtu straight si wa utani utani...

usitamani kuishi kama mtu.... take what you think is your weakness and turn that into being yo strength
 
I like this, plus socialization is not everyone's cup of tea!
 
Back
Top Bottom