Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Nadhani kuna mengi ya kujiuliza hapo! Ameingia chooni, Kama ni mdogo mama yake yuko wapi, then utawamaliza vp woote hao?
 
Nadhani kuna mengi ya kujiuliza hapo! Ameingia chooni, Kama ni mdogo mama yake yuko wapi, then utawamaliza vp woote hao?

Baba yake je?dada na kaka zake je?wajomba..
 
Plz naomba nikuukize, je ww msimamo wako ni upi juu ya gas ya Mtwara? Km ulishawah kuropoka kuw INATOKA....bac kazi unayo kaka, huyo nyoka hatodhibitika hata kwa mafuta taa. Change msimamo haraka ili ukate gogo kw raha.

Kwi kwi kwiiiii!!!......hivi hilo nalo linaweza kuwa sababu eti heeee!!!
 
Miminia Castle lager 4,heineken 5,na nyagi chupa kubwa 2 tuuuu.....Ze snake kwisha habar yaake.
 

pole dada. duduwasha alikuwa upande upi wa shilingi?
 
Simple nunua chumvi nusu kilo hivi kisha yeyusha halafu mwaga humo shimoni. Akigusa chumvi magamba yake hukatika katika.

Ukitaka atoke alikojificha chukua kipande cha mpira choma halafu kiache huko chooni harufu itamtoa kokote alikojificha.

Kuwa jasiri akijitokeza bonda kichwa chake kama maandiko yanavyotuelekeza.
 

Duduwasha
 
Duh,,,na vile sisi wanaume tukitumia vyoo vya kukaa mfumo wote wa uzazi tunauzamisha kwenye shimo aka tunauninginiza shimoni😀kazi tunayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…