Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,533
- 32,752
Hivi vitu vyote ni bora ahamie msituniDona, karanga mbichi, mihogo mibichi, mboga za majani ambazo zimepikwa kidogo tu, viazi vilivyochemshwa, asali, maziwa, matunda aina zote, punje za mapapai, punje za tikiti maji, punje za machungwa, kitunguu swaumu, korosho e.t.c......pia kunywa maji kwa wingi na fanya mazoezi kwa wingi pia!