Pole mkuu. Kwa uzoefu wangu baadhi ya basic tips za wewe kuzingatia ni hizi hapa:
1. Dumisha mawasiliano na mpenzi wako (both verbal na nonverbal).
2. Epuka kupanic na unatakiwa ujiamini.
3. Nakushauri ujifunze uujue mwili wa mwanamke ili kuelewa maeneo sahihi ya wewe kuelekeza concentration yako wakati wa majamboz.
4. Kujenga stamina ya mwili wako na afya kwa ujumla kwa kufanya mazoezi, kupunguza stress, kula vyakula sahihi na kupata usingizi wa kutosha.
5. Epuka kuwa mbinafsi wakati wa sebene. Jizoeshe kumfanya mpenzi wako ndio priority yako kwenye kuridhika (satisfaction).
With continuous practice utajikuta taratiibu unapongezwa na shemeji kwa performance nzuri.