Msaada, niagize kamera ipi Kati ya hizi mbili?

Msaada, niagize kamera ipi Kati ya hizi mbili?

Nahitaji kuagiza Alibaba kamera ya kupiga picha za mnato na video namm sio mzoefu sana ila kwakua najifunza nimeona ni bora niwashilikishe.

Pesa sio tatizo ila nimeingia mtandaoni nikaona Canon 5D Mark IV na Nikon D850, hizi kamera zimenivutia sana zote zinatoa video zenye viwango (4k), japo siwezi kuchukua mbili Kwa pamoja ila ushauri wenu utakuwa maamuz yangu ipi Kati ya hizi ninunue

Lakini pia kama una ushauri wa kamera ipi inaweza kuwa nzuri zaidi ya hizo nilizotaja karibu maana naskia pia nikon D500 ni Moto wa kuotea mbali.

View attachment 2481297View attachment 2481298
Pitia hapa shuka chini kwenye comments utaelewa mambo mengi kuhusu hizi camera

Overall kama Hio Nikon ni nzuri zaidi.

Sema mkuu kama Video ni priority Mirrorless zipo more advanced upande wa Video.
 
Pitia hapa shuka chini kwenye comments utaelewa mambo mengi kuhusu hizi camera

Overall kama Hio Nikon ni nzuri zaidi.

Sema mkuu kama Video ni priority Mirrorless zipo more advanced upande wa Video.
Shukran sana kiongozi wangu
 
Nikajua ukinunua smatiphone ya 600 inatosha kupiga na picha kwaliti kumbe bado sana ..
 
chukua canon 5D mark four wala hautojutia kiongoz
we angalia tu moto wa canon kwenye 5D mark 3 ndio utajua tu kuwa canon moto mwingine
nikon bado sana kwa canon
 
Ungewasikiliza vizuri walimu wako wa somo la fizikia leo usingekuja hapa kutia huruma.

Anyway, walimu ngoja waje wakukaange
Huwezi kutumia physics tu, ku judge camera. Mfano 4K au HD havipo kwenye physics ya fm4.
Nilivyosoma mimi niliambiwa kitu kinaitwa "life long learning" vingenevyo utabaki na digrii yako ukishangaaa mjini.
Kamera ina software, ina adv electronics, ina adv mechanics ambavyo havipo fm4 physc.
Unaweza kutuambia aina ya software inayofanya kazi kwenye huzo kamera kwa physc tu?
Ningekuelewa sana kama ungemwambia atumie google kupata specificatoon zake na sio physics,physics bsilezi teknolojia inaeleza useless theory. Ndio maana wanaoweza kuunda kamera duniani ni wachache kuliko hao waliosoma hio physc.
 
Back
Top Bottom