msaada ni kitabugan kizur kwa physics advanda

msaada ni kitabugan kizur kwa physics advanda

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
habari wakuu
nahitaji kujua kitabu kitakacho niwezesha kutoboa phy ya advance maana nmepita thread moja humu nimesikia moto wake chand tayar ninacho nahitaji niongeze ata viwil vya phy mapema
 
Na kingine kamsikilize sana mwl wako
Kuna watu in my class enzi hizo wAlikuja wamemaliza topic zote hata kuingia darasAni wakawa wanaona wanapoteza muda ila mwisho tukafAulu wAwili tu ambao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chand tu inakutosha hizo vitabu vingine n mbwembwe tu.
Pitia review na Chand, pia usiwasahau hawa jamaa zetu mgote na ally abdrah kwa pamphlets zao.
Mfano. Topic za six zimeelezewa vizur zaid kwenye chand.
Lakn Kama unataka uonekane unasolve sana lakn havitakusaidia soma Roger na nelkon lakn pia university physics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Nelkon ndo iwe reference book... chand na roger viwe text book. ukizingatia utatoka.
 
habari wakuu
nahitaji kujua kitabu kitakacho niwezesha kutoboa phy ya advance maana nmepita thread moja humu nimesikia moto wake chand tayar ninacho nahitaji niongeze ata viwil vya phy mapema
Yani unasoma makitu yote haya alafu unakuja kupangiwa kazi na diwani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom