KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 232
Reliance Insurance iko vizur sana
Wapo maeneo gani hapa mjini?nami nahitaji huduma yaoPhoneix wapo vizuri sana..
Hilo jengo lipo wapi? weka mtaa ikibid wengine wagen mji huu please nielekezeThanx, naenda hapo
Hawa jamaa ni safi. Wiki iliyopita nilipata ajali kubwa lakini walinilipa ndani ya siku tatu. Isipokuwa ni lazima pia usipende michezo ya mjini maana wako makini sana.Hilo jengo lipo wapi? weka mtaa ikibid wengine wagen mji huu please nielekeze
Hilo jengo lipo wapi? weka mtaa ikibid wengine wagen mji huu please nielekeze
Advantages gani hiyo?Jubilee ni kampuni nzuri lakini kuanzia July 2015 thamani ya Mil. 9,000,000x 3.5% = 315,000 ongeza VAT 18%x 315,000=56,700 jumla kuu ni Tshs 373,700/= kwa mwaka. Zaidi ya hapo wana advantages ambazo hupati kwenye kampuni nyingine.
77Mkuu unanifananisha na LEMA?
Mkuu hebu cheki na hawa majamaa wenye karakana kubwa za kutengeneza magari watakupa ushauri kulingana na uzoefu kutoka kwa wateja wao (waliopata majanga na kufidiwa) kuhusu formula za comprehensive zote zna fanana tofauti ni quality ya huduma
Naamini MSALANI atatoa ushirikiano mzuri kwa hili kwani tigo yake anaitumia vizuri LOL
nenda IGT
Ofisi zao zipo wapi?Sijawahi kujutia Reliance Insurance Company wapo poa kinyama
Hivi kwann watu wanakuwa na matabia ya kitapeli hivi?!Asanteni sana wakuu kwa ushirikiano wenu, huyu agent alitaka kunitoa shs. 380,000 kwa thamani ya m9, asanteni sana kwa ushauri wenu.
Bumaco hata moshi pale hawana jina zuri wanafanya kazi za kujuana sanaBumaco ni majanga, kuna kadada kanajifanya ndio kanajua sana kubishana na wateja, unaeza kuzimia kwa majibu yao.