Msaada: Ni App gani nzuri ya kukata video kutoka Youtube?

Wakuu,

Ni app gani nzuri ya kukata(Trimm) video zilizopo Youtube na kisha kupakua trimmed video kama audio?

Ni kwamba nahitaji kukata video ambayo ni ndefu na katika video niliyochagua nipakue audio yake.

Nadhani nimeeleweka.

Ahsante.
Inategemea hio audio unataka ukaitumie kwenye matumizi ya aina gani? Ila unachotaka kukiepuka kinaepukika kabisa😊
 
Inategemea hio audio unataka ukaitumie kwenye matumizi ya aina gani? Ila unachotaka kukiepuka kinaepukika kabisa[emoji4]
Nisaidie mkuu hio app
 
Wakuu,

Ni app gani nzuri ya kukata(Trimm) video zilizopo Youtube na kisha kupakua trimmed video kama audio?

Ni kwamba nahitaji kukata video ambayo ni ndefu na katika video niliyochagua nipakue audio yake.

Nadhani nimeeleweka.

Ahsante.
 
Kampuni ya google haisapoti programu ya ku-pakua video kutoka youtube app kama vidmate na zingine huwezi kuikuta play store ndio maana hata ukitengeneza video inayoelezea namna ya kudownload clip za youtube wana-ondoa alafu wanakutumia Warning (Onyo) kwamba watafungia channel yako
 
Tumia y2mate.com ila aina trim na audio unaweza kudownload then utakata mwenyewe
 
Kampuni ya google haisapoti programu ya ku-pakua video kutoka youtube app kama vidmate na zingine huwezi kuikuta play store ndio maana hata ukitengeneza video inayoelezea namna ya kudownload clip za youtube wana-ondoa alafu wanakutumia Warning (Onyo) kwamba watafungia channel yako
Ok,Asante
 
Wakuu,

Ni app gani nzuri ya kukata(Trimm) video zilizopo Youtube na kisha kupakua trimmed video kama audio?

Ni kwamba nahitaji kukata video ambayo ni ndefu na katika video niliyochagua nipakue audio yake.

Nadhani nimeeleweka.

Ahsante.
Jaribu hii hapa mkuu lakini itakubidi uingie mfukoni kwanza 👇
 
Wakuu naomba anayefahamu video trimmer isiyokuwa na limit ya dakika anisaidie tafadhali.
 
Back
Top Bottom