Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,972
- 22,436
ok, kumbe unataka audio iwe fupi, sasa hapo nimekuelewa. hii inaweka audio kwenye quality mbali mbali lkn haifupishiJe inafanya kazi niliyoulizia hapo juu?
ok, kumbe unataka audio iwe fupi, sasa hapo nimekuelewa. hii inaweka audio kwenye quality mbali mbali lkn haifupishiJe inafanya kazi niliyoulizia hapo juu?
haipo playstore lkn pia nimesoma vizuri maelezo ya ya mleta mada sio kama anavyotaka yeyeMkuu nimeitafuta kwa App Store haipo mbona... tusaidie Mkuu
Sijaelewa Mkuu kama haipo playstore inapatikana vipihaipo playstore lkn pia nimesoma vizuri maelezo ya ya mleta mada sio kama anavyotaka yeye
Snaptube lets us download videos in 4K, 2K, and other HD resolutions as well as optimized options like 720p. You can also load a video and download it as an MP3 file. For instance, you can download a YouTube video as MP3 using Snaptube.
Sijaelewa Mkuu kama haipo playstore inapatikana vipi
Mimi nahitaji kudownload music audio au video
Shukrani natanguliza
usiende kulipa hela kwa huyo jamaa app za kuedit video nzuri za android ni kinemaster na power director tafuta mods zake zipo kama buku, sasa jamaa auze app yeye ni yake, njaa zingine bana.Ndio hivyo,Asante
Mkuu asante kwa ushauri,hizo nitazipata Play store au nitafute google?usiende kulipa hela kwa huyo jamaa app za kuedit video nzuri za android ni kinemaster na power director tafuta mods zake zipo kama buku, sasa jamaa auze app yeye ni yake, njaa zingine bana.
NB: hizo app zina effect nyingi tu kufanya unachotaka, limitation pekee ni wewe mwenyewe.
ukienda playstore hutapata mod yaaani ambazo zimelipiwa tayari, so ukiedit video kama umetumia za playstore zitakua na watermark.Mkuu asante kwa ushauri,hizo nitazipata Play store au nitafute google?
SnapTube haipo Play storeMkuu nimeitafuta kwa App Store haipo mbona... tusaidie Mkuu
Asante Mkuu kunifahamishaSnapTube haipo Play store
Ndio kazi yakeImafanyaje kazi hii?inaweza Ku trimm video iliyoko YouTube?
Kuna watu kwao kila kitu ni dili, wakati pia kuna michango mingi tu humu amefaidika nayo tena bure.Ogopa sana hii kitu.
Utalia, tayari ushakuwa "Deal"
Asante ila hii ya nakua bado sijakwepa kitu maana video ninazotaka kudowload ni ndefu sana, hivyo hata audio/Mp3 zake zinakuwa kubwa sana,mfano nilitaka kujaribu moja nikakuta ukubwa wa audio yake ni Mb 500+Kama una pc hata vlc inakata video then una extract audio.
Kwa simu tumia app itakayodownload audio than search playstore mp3 splitter zipo kibao bure.
Mfano wa app ya kudownload audio youtube ni ymusic
YMusic listen YouTube video in background - Android
Listen to your favorite music video in YouTube without consuming addition data for loading video streamymusic.io
Then tumia service za online mkuu.Asante ila hii ya nakua bado sijakwepa kitu maana video ninazotaka kudowload ni ndefu sana, hivyo hata audio/Mp3 zake zinakuwa kubwa sana,mfano nilitaka kujaribu moja nikakuta ukubwa wa audio yake ni Mb 500+
Ndio maana nilitaka ambayo nakata video sehemu ninayohitaji kwanza,then kutoka kwenye hicho kipande cha video ambacho nimekiteua ndio nidownload audio yake.
Nadhani utakuwa umenielewa.