Msaada: New baby names

Chagua pekee yako bhana maana mi naweza nikakuambia muite lets say James,ukalipenda ukalichukua ukampa mwanao,kumbe lilikua jina la babu yangu ambaye alikua ni mlevi,unategemea nini kwa huyo mtoto wako. Majina mara nyingi yanakuaga na maroho ya asili ya hayo majina au kulingana na maana ya jina husika,ukimpa mtoto shida au taabu unategemea nini...
 
kutokana na comments tulizopokea kweli tumeamini kila familia haikosi vimeo,hata humu kwenye familia ya JF mpo aisee!!!!,na hii ni uthibitisho tosha kuwa sisi(wachache)pale tunapoenda kazini na kupakia watoto wa shule walioachwa na daladala....wenye kutoa mi comment ya ajabu ndio wanaongoza kwa kufunga vioo vya magari yao na kuwaacha watoto mabarabarani...kamsaada kidogo ka kutype jina ni issue kwako,je lift kwa mwana wa mwenzio si ndio balaa🙂...thanx for all who took there trouble,we salute you all,hata nyie mlioleta siasa,utani nk tunawashukuru pia.
 
Warioba for boy
Mama warioba for girl.!
 
Jamani yani jina mpaka JF.........? Mwite Mzindakaya, Nape,Komba, sikitiko, Chawote
 

ungejua maana ya JF usingeuliza swali lako!!

Wajipa kaz sana ndugu kuanza kusikitika yawezekana kuna aina ya majina uliokua unayataka...au mwenzetu sio mtanzania tena mbongo majina meng yapo ktk jamii tunazoishi.. Na sidhan kama wafahamu humu au popote pale watu wapo tofaut ulivo wewe ni tofauti na wengine kwahiyo usitake watu waishi kama unavotaka wewe bali wewe chukua jukumu lakujifunza kuishi na watu wanamna hizo hautapata tabuu. Na sikuhiz google imerahisisha jina na maana kwisha habari.
Wasalamu BN
 
vile umesema we mkatoliki waweza chagua majina kupitia orodha ya watakatifu na historia ya maisha yao ....petro.paulo.gregory. Augustino n.k wa kike josephina. avila. perpetua yapo mengi mwaweza kuchagua mkiwa na mkeo mkafurahi zaidi
 
We are all fake with fake names and most of things are normally treated fake-like...now the names you are asking shall be fake for the fake baby!Thank you fake parents.
 

Gustavo an gustava!
 

self centered,.,.
 





muite chanachupi hilijina halichagui jinsia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…