this is too much jamani? hata jina la kumuita mwanao hadi ufanye google search! kichwa chako kinaweza kuwaza nini sasa? chaaaaa!
mimi even tho bado nipo bikra ila majina ya watoto wangu ninayajua tayari!
tehe...tete....tehe..... siku nyingine ya vituko!
tunaweza kujifunza kitu hapa pamoja nafuraha zetu, tunashauriwa kama inawezekana toavid kuwapa majina watoto wetu kwa watu waliokufa na hasa waliokuwa na matukio mabaya .
pia majina ya kukata tamaa kama shida, tabu ,chausiku, mateso, vumilia ,msichoke,ubaya,kijakazi na mengine mengine yanayofanana na hayo (japo sina maana ya kuwataja watu hapa) wakati mwingine huwa yanaenda na spirit zao na matokeo yake mtoto anaishi kwa shida siku zote japo sio wote lakini wengi wamekuwa wanakubwa na utumwa huu jaribu kuchunguza.
La la la la la la la.Chunga sana usimuite Isabela,Daines,Robina,Diana,Lilian au majina yanayoanza na V(for ke),lasivo utalia maana atakuwa mgawa V mzuri.