Habari ya uzima wakuu na heri ya mwaka mpya 2018!
Naomba msaada,kama kuna yeyote anajua taasisi inayotoa practical training ya networking kwa bei nafuu hapa jijini Dar es salaam, nitashukuru sana kwa msaada nitakaopata kutoka kwenu.
Shukrani