Msaada neno "BUDI" lina maana gani?

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
735
Sina budi kwenda kuoga
Sina budi kwenda kulala
----------------------
Hivi kwanini isiwe:
--------------------------
Nina budi kwenda kuoga
Nina budi kwenda kulala
--------------------------------
Kutokana na kuto elewa vizuri neno hili SINA BUDI kuwauliza wadau wenzangu humu jf ili nisaidiwe...
 
BUDI.. binafsi naona neno hilo linaonyesha ulazima wa kutenda jambo fulani kwa sababu fulani au jambo linalotakiwa kutendwa..sina budi(hana chaguo lengine tofauti na lile analopaswa kulitenda)
hata akisema nina budi ni sawa tu nakusema sina budi kwa maana yote yanaonyesha ulazima
 
Back
Top Bottom