msaada ndugu zangu

msaada ndugu zangu

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
tablet yang ina connect 2g network only ila nimejarb ku google nimekutana na kit kinaitwa 3g dongle na nimejarb kuchek kweny tablet yang nimeona ina support dongle huawei na zte nilikuwa naomba kujua hv vfaa vinapatkana na kwa sh. ngap pia na maelezo kwa mt mwenye ufahamu na haya mambo ya dongle
 
31A75Yg9PRL._AA160_.jpg

  • Hiyo apo, ni modem ndio inaitwa Dongle
  • Waweza pata kwa kati ya tsh 20,000 hadi 40,000
 
Back
Top Bottom