kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Habari zenu ndugu zangu, naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na mambo ya vyuo vyetu hapa nchini ambavyo hutoa elimu kuanzia ngazi ya degree, nina ndugu yangu amemaliza form six mwaka jana akapata division 3, alikuwa akisoma PCB, na matokeo yake ni hivi Biology=C,Chemistry=E, Physics= F,Bam=S, lakini form four alikuwa na div.1 na alipata B ya chemia, B physics, C biology na C mathematics, sasa
ameogopa kuomba chuo hata kwa course nyingine just because ana F ya physics, naombeni ushauri ndugu zangu ili tumsaidie mawazo huyu mwenzetu.
ameogopa kuomba chuo hata kwa course nyingine just because ana F ya physics, naombeni ushauri ndugu zangu ili tumsaidie mawazo huyu mwenzetu.