Msaada ndugu zangu wana jf

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari zenu ndugu zangu, naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na mambo ya vyuo vyetu hapa nchini ambavyo hutoa elimu kuanzia ngazi ya degree, nina ndugu yangu amemaliza form six mwaka jana akapata division 3, alikuwa akisoma PCB, na matokeo yake ni hivi Biology=C,Chemistry=E, Physics= F,Bam=S, lakini form four alikuwa na div.1 na alipata B ya chemia, B physics, C biology na C mathematics, sasa
ameogopa kuomba chuo hata kwa course nyingine just because ana F ya physics, naombeni ushauri ndugu zangu ili tumsaidie mawazo huyu mwenzetu.
 
Angeomba angepata kwani kuingia chuo kikuu watakiwa kuwa na 2principle passes na yeye anayo ya biology na chemistry.
pia minimum points vyuo vingi ni 4.5 na yeye kafikisha kwani c=3,e=1 na s=0.5.
 
Wewe na huyo mdogo wako wote ni viazi,yan wenzenu wana EEF za HKL na wamelambwa bumu nyie mlikua mmecinzia 2.
 
senetor broda! Jamaa ame2mia lugha nzuri sana mbona reply hyo wenye kujua cwamemwelesha na watamuelewesha co kiivo broda wote 2po hapa kuget knwledge n benefit so jamiiforums haipo kuzinguana bro be nice!
 
nashukuru sana kwa michango yenu, lakini lugha za matusi na kejeli siyo nzuri senetor, sawa tulisinzia lakini ndo maana nikatanguliza kusema mwenye kufahamu atusaidie, nashukuru lakini kwa michango yenu
 
<br />
<br />
ok nisamehe ndugu yangu,kama uko dar ni vzr ukaenda ofc za tcu labda wanaweza wakakusaidia,ila nadhan hata mkopo huyo nduguyo hakuaply so hawez pata mkopo,nakushauri umwambie asubiri hadi nxt yr 2.
 
yeye alivoogopa kuomba chuo aliamua kipi?? anyway siku sio nyingi TCU watatoa hawamu ya 3 kwa wanaohitaji kuomba chuo(3rd round application) ivo asisite kuapply then akipata chuo aanze kufatilia mkopo hopeful atapata kozi ya science! kama yupo dar aende office za TCU kwa ushauri
 
nawashukuru sana ndugu zangu wa JF kwa michango na ushauri wenu mungu awe nanyi daima
 
Back
Top Bottom