Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

Kuna tatizo gani kwani hapo? Wakati wengine wakiwa na wapenzi wao simu wanazima.
 
Ahsante kwa kunichekesha ha ha ha...Mkiaminiwa mnalalamika,msipoaminiwa mnalalamika,Mnataka nini nyie viumbe?
 
Huyo anakupenda lakini anaogopa kupekuwa cm yako anajua ataumia sana akikutana na sms mbaya.
 
hahaha kwel kla shetani na mbuyu wake
 
Mkuu kaa chonjo, unaibiwa. Ni mwanamke gani huyo asiyekuwa na wivu? Utakuwa unagongewa nje ndugu yangu. Tafakari, chukua hatua!
 
teh teh teh,,,! umenifurahisha mkuu, ningekupata wewe naona tungeendana. maana......!!
 
Back
Top Bottom