Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

Ashike yakwako ili utake kushika yake????
 
nipatie digits zake, nimfundshe kuwa na wivu
 
Ha ha ha nimecheka sana....kumbe mapenzi na upendo una vipimo vingi sana aise
 
daaaaaaaahhh mkuu kiukweli nakuonea huruma coz they say THERE IS NO LOVE WITHOUT JEOULOUS,fanya utafiti labda ana sababu zake na sio kwamba hakupendi.au pengine anaheshimu sana privacy ya mtu.
hapana dear hebu piga picha ni wewe utafeel vp? mi nahic hanijali kabisa
 
daaaaaaaahhh mkuu kiukweli nakuonea huruma coz they say THERE IS NO LOVE WITHOUT JEOULOUS,fanya utafiti labda ana sababu zake na sio kwamba hakupendi.au pengine anaheshimu sana privacy ya mtu.

atleast ww umenionesha njia kuliko wengine waliorushs mashambulizi wakati yanawachoma
 
habari wakuu wa MMU
Mwenzenu nina tatzo ktk mapenzi na mpz wangu.
yaan n hv n mwaka wa pili kwny mahusiano mpz wangu hajawai shika cmu yangu kuikagua inaniuma sana yani hata umuachie makusud haishiki kuifungua kuangalia sma wala call log yan nateseka kwa hilo na kuna cku nikaiacha kitandani makusudi akiwepo nikatoka nje na kuanza kuipiga hyo cm yangu kwa cm nyingine ambayo nilisevu jna la honey nilipiiga wee wap hakuigusa tuma sms wap wala.hakustuka ivi ananipenda kweli huyu au ananizuga tu yan roho inauma kweli sujui nifanyeje mnisaidie jaman

Kila mtu hii dunia ana matatizo yake...Wengine wanatamani kuyakimbia matatizo ila wengine wanayatamani......Duniani tumetofautiana sana..
 
Ha ha ha nimecheka sana....kumbe mapenzi na upendo una vipimo vingi sana aise
 
Hongera kwa hii bahati maana wengine wanatamani hv hawapati.
 
Mh!mtoa mada una tatzo self esteem syndrome ,pole sana ,try to work on your personality and esteem!
 
hapana unaongea tu hvyo inaonyesha hakujali

Mkuu Kuna mzee tunafanya nae kazi, huwa simu yake inakuwa on anapokuwa ofisini tu. Akirudi nyumbani anaizima ili kuwa salama. Alishawahi kushikiwa kisu shingoni akiwa amelala, kisa kuna missed call ya muhudumu wa ofisi tena ya muda wa kazi, sio muda mbaya. Usiombee yakukute. Kutokupekuliwa inaweza kuwa anakuamini kupitiliza, usije poteza hiyo imani, au jaribu kuopoa nyumba ndogo uone reaction yake.
 
Huenda haishiki cm yako kwa sababu hapendi kujiumiza nafsi yake. Pia asingependa kukuuliza maswali anajua utajitetea tu. Heri nusu shari kuliko shari Zima.
 
Back
Top Bottom