Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

Ndoto za siku hizi hazina maana yoyote wala usihofu chochote.
 
Kumbe ndoto huwa zina maana ,mie huwa napuuzia

Dada mpendwa First lady,

Ndio ndoto zina maana.

Zamani habari kutoka mbiguni zilikuwa zikiletwa na manabii.

Sasa habari hizo zinakuja kwa njia ya ndoto (kwa sababu katika enzi hii hakuna tena maabii wa kweli).

Nabii wa kweli wa mwisho kutumwa na Mwenyezi Mungu ni Mtume Muhammad SAW hakuna nabii mwingine baada yake (walikuwepo manabii wa kweli wengi kabla yake kama vile nabi Yesu, Musa, Ibrahim......................)

Kuna ndoto za aina tatu,

1) Ndoto inayo tokea kweli (hii ni message kutoka kwa Mwenyezi Mungu), ndoto ya aina hii inakuwa straight foward (ndoto ya aina hii inakuwa clear kabisa yenye kufahamika na inatokea kweli).

2) Ndoto ya kuhuzunisha au kuogopesha (Ndoto hii inatoka kwa shetani, dawa yake ni kumwomba Mwenyezi Mungu akulinde na ndoto hiyo) ndoto ya aina hii daima inakuwa sio straight foward, unaweza kuota unaongea na Ali ghafla ali anabadilika anakuwa George na kama hivyo..............

3) Ndoto unayo ota baada ya kufikiria sana hilo ulilo liota (ndoto ya aina hii haina maana, ni fikra zako tu ulizo kuwanazo kabla ya kulala)
 
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno

Ndoto huja kutokana na shughuli nyingi.....! Hiyo ni ndoto tu na sio maono!
 
Jambo la muhimu ktk ndoto ni feeling zako pale unapoachana nayo na kuamka, je ulijisikia furaha, je ulijisika mzito mwilini na mwenye hudhuni kiasi gani, ulijisikia kutishika, mapigo ya moyo vp, vijasho je, na msukumo wa damu vp. Kama yote hayo hamna ulijisikia poa tu na uko kawaida ndoto hiyo haikuhusu bali umejulishwa habari zitakazowapata jamaa zako wa karibu.Ndoto ni matukio yayokwisha tengenezeka ktk ulimwengu wa roho na kama hatua za kuyaepusha kama vile kuomba na kufunga hazikuchukuliwa yanatokea kiukweli ktk uhalisia wa maisha. Hilo shimo ni misiba na mwanamke ni ishara ya mgogoro wa mirathi ambayo utaitatua wewe. Soma maarifa haya zaidi ktkt Philosophy of Healing @ www. quasserer.com
 
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno

kuna Kazi utakayo ikamilisha katika familia yenu ambayo Baba yako mdogo alishindwa,lakini itakuwa na Matatizo sana,na kama ungedumbukia kwenye shimo basi nawe ungekuwa mtu wa shida sana.Muombe Mungu Sana.
 
Jambo la muhimu ktk ndoto ni feeling zako pale unapoachana nayo na kuamka, je ulijisikia furaha, je ulijisika mzito mwilini na mwenye hudhuni kiasi gani, ulijisikia kutishika, mapigo ya moyo vp, vijasho je, na msukumo wa damu vp. Kama yote hayo hamna ulijisikia poa tu na uko kawaida ndoto hiyo haikuhusu bali umejulishwa habari zitakazowapata jamaa zako wa karibu.Ndoto ni matukio yayokwisha tengenezeka ktk ulimwengu wa roho na kama hatua za kuyaepusha kama vile kuomba na kufunga hazikuchukuliwa yanatokea kiukweli ktk uhalisia wa maisha. Hilo shimo ni misiba na mwanamke ni ishara ya mgogoro wa mirathi ambayo utaitatua wewe. Soma maarifa haya zaidi ktkt Philosophy of Healing @ www. quasserer.com
 
Kuna message katika baadhi za ndoto - Wataalamu wandoto wanazitambua.

Kitu kitu kinaitwa sub-conscious mind ambayo ni state inayo-collect information nyingi kupita uwezo wa conscious mind kuprocess...! Sasa wakati mwingine, ukiwa umelala sub-conscious mind inajaribu ku-process baadhi ya hizo information in a way inayofanana au kutofanana na real world kulingana na mazingira inayoona yenyewe yanafaa, hivyo ndoto pia huja kwa staili hiyo.

Lakini pia unapokuwa katika sub-conscious mind ndipo hapo hata nguvu ya ziada ya kiroho inafanya kazi. Mfano ni katika hali hiyo ndio watu huwa wanachukuliwa msukule wanafanyishwa kazi, au wengine huweza kusafiri etc. Kinachotokea mwili unatenganishwa na roho, then unaaamua either kuufanyisha mwili kazi wakati roho imetulia au unaifanyisha roho kazi wakati mwili umetulia. Kwa hivyo sometimes hizo ndoto huwa ni kuwa ni kweli roho imechukuliwa imepelekwa mahali na huko inaona hayo mazingira, au ni kweli mtu anakujia na kukueleza baadhi ya mambo na wewe unayasikia vizuri na kuyaweka kwenye kumbukumbu..!
 
Chuo ndio hiki jamii forums na jamaa ndio mwalimu anakujuza si maarifa yote hupatikana vyuoni na si busara kupuuza hata wale waliyoyachota kwenye vyuo vya ughaibuni na kukuletea kwani utajiri wa dini tulizonazo ulianzia kwenye vyuo gani unavyovijua
 
Na wewe punguza kutamatamani nyumba na pesa za watu ,ona sasa unaotaota ovyo!tulia natania ila usihangaike kwenda kokote hamna binadamu wa kukuwakilisha kwa mungu wako,m face wewe mwenyewe kupitia matendo yako ya kila siku ,ibada zako na mengineyo.
NARUDIA HUHITAJI WAKILI,FANYA IBADA NA MAOMBI YA KAWAIDA KWA MUNGU UMWAMINIYE ILI AKULINDE,sisi waislam hatusumbuki kihivyo, tunajua dua gani tusome kama tunapata ghasia za kiroho bila kwenda kumuona sheikh ,imam au kiongozi yeyote wa kiroho upande wetu
 
Nimeota baba yangu mdogo aliye fariki mwaka jana ananiachia nyumba.
Nyumba ni kubwa sana na tupu.
pia kuna shimo kubwa mafano wa kaburi pembeni yake.
Hii ndoto imeniumiza sana kichwa, nimejaribu kutumia hekima za kiuanadamu nimeshindwa kupata majibu.
Naombeni msada ndugu zanguni kwani hata hapa kibaruani leo ufanisi wangu umeshuka mno

ukiota ndoto ambazo unaona ni mbaya, usihadithie. Maneno huumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom