Msaada: Ndoa ya ndugu yangu ipo mashakani

Kukaa na mawifi ni matatizo tu, tena mawifi wenyewe ndo hao pole zake

Unaweza kuta hao mawif hakuna hata aliyeolewa na wala hawana wachumba

Mama yangu huwa ananambia "unachomtendea mwenzako nawe utakuja tendewa hivyo na utaumia mara 2"
Hivyo mungu atamlipia tu huyo dada
 
Hameni hapo mukale ujana kitaa.
This time pangeni chumba kimoja tu tena cha selfu mawifi wakija wakose pakunya na pakulala warudi kwao siku hiyohiyo.
 
Mwanaume huyu utamshauri nini, wakati anatumia akili ya mtu mwingine?
Any way,
Hapo cha kufanya, ndugu wa mkewe wakae pamoja na kupitia upya ndoa ya mtoto wao ilikuwa na kidini, serikali au ya mila ili waamue wagawane mali au warudiane kwa hati ya masharti.
 
Kuna ndoa nyingine ukiwa na hasira sana watoto watapata shida sana.
 

Aliona shida gani kuambatana na mkewe wakanunua mchrle unga maharage gas mkaaa mafuta nyanya nk vikakaa ndani?

Unless uniambie mkewe anavificha uvunguni
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…