Wanawake tujifunze kujitegemea jamani, ndo haya mambo unakuwa limama but still unakula kwa shikamoo kwenye nyumba ya kaka ako. Afu we ni mwanamke, kwa nini uharibu ndoa ya wifi ako? Inawezekana pia kwa kuwa wewe hujaolewa ndo maana unamletea gubu wifi ako.
Anyway, Karma has no menu, u get served what u deserve. So siku ukiolewa jiandae kabisa na mawifi zako, watakupa headache hadi utafurahi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwan wanaume wamekwisha?
nipe no yake.
napingana na hili swala la kukaa karibu na mawifi hawa ni matatizo
Huyo mkubwa alishaolewa na anawatoto wawili alijiashisha
waambie hao yani adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie sijui tukoje mi pia dada yangu ana tabia hzo za kiswaz yani wifi yetu hana amani tena yeye sista kaolewa ila wameshhindwa kupanga wapo home jamank anaingilia ndoa hadi bas wapo sana tena sana mi siwapendi mbwa wa aina hii!
Yaan mawifi hata ungewapa niniiii sijawah sikia mtu anapendwa na wifi yake ni wachache mnoo wengi ni chuki na wivu
Waoe hao dada zako uishi nao
Wanaume wengine ni kwa ajili ya kuhesabiwa katika sensa tu.
Wanaume wengine ni kwa ajili ya kuhesabiwa katika sensa tu.
Umeniwahi tulikuwa na wazo linalofanana. Mwanaume huyo hajitambui zamani walikua wanasema mwanaume asiyeweza kuisimamia nyumba yake vema hata uongozi wa ukoo alikua hapewi tena walikuaga na jina lao wanaume dizaini hii.Ndiyo shida ya kuolewa na mume anayeshikiwa akili!!!
Nafikiri mawifi huwa si tatizo bali tatizo kubwa huwa liko kwa kaka yao ingawa mara nyingi hatupendi kuliangalia hili. Kama kaka yao ana msimamo basi mawifi lazima watakuheshimu lbd mke aanze kuwanyanyasa vinginevyo huwa kuna amani.wewe acha tu yaaani muda mwingine unaweza kutoamini. ila uzoefu wangu mawifi ambao hawajaolewa au waliachika ni balaa tupu. mwanamme lazima uwe na msimamo na waambie ndugu zako "black and white"