Wanawake tujifunze kujitegemea jamani, ndo haya mambo unakuwa limama but still unakula kwa shikamoo kwenye nyumba ya kaka ako. Afu we ni mwanamke, kwa nini uharibu ndoa ya wifi ako? Inawezekana pia kwa kuwa wewe hujaolewa ndo maana unamletea gubu wifi ako.
Anyway, Karma has no menu, u get served what u deserve. So siku ukiolewa jiandae kabisa na mawifi zako, watakupa headache hadi utafurahi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
waambie hao yani adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie sijui tukoje mi pia dada yangu ana tabia hzo za kiswaz yani wifi yetu hana amani tena yeye sista kaolewa ila wameshhindwa kupanga wapo home jamank anaingilia ndoa hadi bas wapo sana tena sana mi siwapendi mbwa wa aina hii!
Unataka msaada wa kisheria au porojo?