Nikicheza video za mtandaoni hukwamakwama na hata zile za live.Siku natazama mechi ya Simba na Shandy Sudan ilikuwa tabu.Ikiplay dk2 ina buffer dk2.Naombeni msaada juu ya hili ili nami ni enjoy.
Nikicheza video za mtandaoni hukwamakwama na hata zile za live. Siku natazama mechi ya Simba na Shandy Sudan ilikuwa tabu. Ikiplay dk2 ina buffer dk2. Naombeni msaada juu ya hili ili nami ni enjoy.
...Natumai utakuwa unaangalia video ambazo ni recorded na si live.
...Unapochagua video ya kucheza, inapoanza ku load isimamishe -kwa kubonyeza alama/kifungo ya kucheza- usubiri ijae kiasi cha kutosha -kutegemeana na speed ya connection yako, halafu bonyeza tena hiyo alama/kifungo, itacheza vizuri.
...Kama speed yako ni ndogo sana, itabidi uiache ijae kwa kiasi kikubwa kabisa.