Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 713
- 1,641
Salaam wakuu,
Naomba kujuzwa kwa anaefahamu hizi baji za bendera ya taifa letu zinazobanwa kwenye shati zinapatikana wapi na kwa utaratibu gani. Je ni kwa viongozi pekee au hata raia tunaweza kuzipata, Je zaweza kununuliwa na maeneo gani hasa naweza kuzipata na labda ningejuzwa hata bei. Natanguliza shukrani.