Msaada; Nawezaje kupata baji ya bendera ya taifa.

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Salaam wakuu,
Naomba kujuzwa kwa anaefahamu hizi baji za bendera ya taifa letu zinazobanwa kwenye shati zinapatikana wapi na kwa utaratibu gani. Je ni kwa viongozi pekee au hata raia tunaweza kuzipata, Je zaweza kununuliwa na maeneo gani hasa naweza kuzipata na labda ningejuzwa hata bei. Natanguliza shukrani.
 
Zipo nyingi tu mtaani. Kwa mimi ambaye niko Dodoma niliinunua kwa wale machinga ambao wako karibu na makao makuu ya CCM hapa Dom. Bei ni 3000 tu ingawa walianzia buku sita kama sikosei. Halafu mkuu inapendeza zaidi ukiipachika kwenye koti la suti na sio kwenye shati.
Salaam wakuu,
Naomba kujuzwa kwa anaefahamu hizi baji za bendera ya taifa letu zinazobanwa kwenye shati zinapatikana wapi na kwa utaratibu gani. Je ni kwa viongozi pekee au hata raia tunaweza kuzipata, Je zaweza kununuliwa na maeneo gani hasa naweza kuzipata na labda ningejuzwa hata bei. Natanguliza shukrani.
 
Zipo Nyingi Sana Na Popote Utazipata
Lakini Uwe Mzalendo Unapoivaa
 
Kama hii ....
IMG_20181102_121300_164.jpg
 
Back
Top Bottom