Msaada, naweza pata BP muda si mrefu

Kuna kitu umeficha hapa.

Sema ukweli kuna yoyote ambaye umemfanyia ubaya na unahisi labda atakurudishia kisasi?? Wake zako unawaamini kwa asilimia ngapi? Vipi hauna siri uliyoitunza kuhusu mali zako au chochote unachohisi labda kimejulikana?

Asante mkuu kwa maswali na tafakari yako fikirishi
Kiukweli sidani kama nina adui serious ambaye anaweza kundhuru, sidhani kama yupo. Kutofautiana na watu ni jambo la kawaida maishani lakini si kwa kiwango cha kunipa hofu ya kudhurika
Kumuamini mwanamke ni jambo nitakalofanya mwishoni kabisa, usimuamini mwanamke kwa zaidi ya 60%. Lakini wake zangu wanaishi pamoja, na wanaishi vizuri kabisa - to the best of my knowledge
Pesa, utajiri na kufanikiwa kuna siri zake, lakini namshukuru Mungu kwamba sina nilichokipata kwa mambo meusi wala ya ajabu. Tunashirikiana na hawa viumbe kuendeleza familia, so biashara, mikopo na kudunduliza ndo nguzo ya mtaji na kufanya yaliyoko ndani ya uwezo wetu
Ni hayo tu mkuu
 
Ninadhani una tatizo la ANXIETY, ni vema ukaenda kupata msaada wa Kisaikolojia au ukamuona daktari wa afya ya akili. Anaweza amua kukupa dawa ya kuondoa hiyo anxiety (japo zingine ni addictive) au ukafanyia psychotherapy. Pole sana!
 
Nadhani hasa shida iko hapo kwenye bold ndipo palipokuletea hiyo yote; umeanza kujihi kwamba "ume expire" that's the problem, unatakiwa kuonana na mtaalamu wa saikolojia ili ujue anakusaidiaje but still wewe ndio muhusika mkuu wa kuweza kulitatua hilo tatizo.
[/QUOTE]

Asante sana mkuu kwa mwanga huu!!
hili jambo huwa naliwaza, lakini halinisumbui sana, hata hivyo ushauri wako nimeupokea. ngoja niufanyie kazi
 
Nadhani hasa shida iko hapo kwenye bold ndipo palipokuletea hiyo yote; umeanza kujihi kwamba "ume expire" that's the problem, unatakiwa kuonana na mtaalamu wa saikolojia ili ujue anakusaidiaje but still wewe ndio muhusika mkuu wa kuweza kulitatua hilo tatizo.
[/QUOTE]
Anxiety ikiwa kubwa husha UWEZO WA CHUMBANI.
 
Kwanza nahofia kama kuna kitu ninamiss hivi (internally i feel so empty), najisikia kama nipo lonely, nakuwa nahisi kama kuna jambo baya linaweza kutokea.
Usiku nikilala mara nyingi naota nipo kwenye milima, majabali, au makorongoni
hivyo yaani
Natamani sana kukushauri kiroho hapa ila Napata shida; Weka utulivu, is like Mungu anakuhitaji sana for the special mission.
 

thanks mkuu, lakini naona hizi link hazifunguki
 
Pole sana mkuu naona ume dislike comment yangu

Unaweza niruhusu nikuchekeshe !

Teh
 
Thanks for sharing your thoughts but you failed to concisely describe your problem
There's many types of fear
So to be specific what exactly bother you
Once you nail it ...then the problem half solved
 
Piga threesome ya mwisho mwisho halafu uage
 
Kwanza nahofia kama kuna kitu ninamiss hivi (internally i feel so empty), najisikia kama nipo lonely, nakuwa nahisi kama kuna jambo baya linaweza kutokea.
Usiku nikilala mara nyingi naota nipo kwenye milima, majabali, au makorongoni
hivyo yaani
Pole sana,
Nasikia Muhimbili kuna Psychiatrist unaweza kuonana nao, pia kuna dawa za kupunguza anxiety wanaweza kukuandikia ukatumia huku ukipata msaada wa kukusaidia kupona

Pia jitahidi usiwe unakaa mwenyewe, kuwa na marafiki mnaoweza kuongea muda mrefu nadhani hii itakusaidia kukuondoa kwenye hayo mawazo
 
Mkuu nipe historia ya iyo hofu imeanza lini au ulifanya kitendo gani ikaanza hofu. Je kati ya wake zako yupo unaempenda zaid kuliko mwingine? Je wake zako wanamaelewano mazuri?

Kazini kwako uko salama na wafanyakazi wenzako?
 

Adrenaline imezidi -kuna dawa ya kuregulate..unaweza ukampa doctor wako ili dokezo langu..
Umerogwa -waganga wapo wanatatua ayo mambo..mke mmoja anataka mali zaidi.

Tusolve kivyote vyote..
 
mkuu hapo kwa haraka haraka inaonekana una hofu na wake zako au mmoja kati ya wake zako ila unaudanganya ubongo kuwa si tatizo lakini ukitulia tu hali inakua pale pale sali sana jiamini pendelea kukaa na wanao sana ubalance shobo utapoa mkuu
 
Kama haufanyi zoezi fanya zoezi hasa kukimbia hutojutia ushauri wangu
 
Nimekusona mkuu kiutu uzima,
Wake wawili alafu ukipiga game unatepeta mapema,
Unawaza sasa kugongewa,,
Dawa nakupa mjalabu kabisa wa kuondoa hiyo ofu yako ongeza mke mwingine wa tatu ila awe mchamungu hao uliokuwa nao hivi sasa wanakuongezea stress,
Na usikubali hata siku moja mdogo wangu wake zako wakawa marafiki umekwisha,
Watakutanguliza wewe kaburini mapema na wao wakabaki duniani wanakula bata,
Ukitaka kuishi na wake zaid ya 1 uwe nao 2,3,4
Ishi kama dume la simba
Alafu usikubali kuweka ratiba, wewe vamia tu kininja mjengoni na usikubali kuwekewa time limit na mkeo umekwisha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…