Sim card imekaa vizuri tu,nimejaribu now and then kutoa line na kuweka upya lakini habari ni ile ile,inazitambua line zilizoingia kwamba ni Airtel na VODACOM but ina display EMERGENCY call only,yaani ni kama kuna restrictions ya networks.angalia kama line imekaa vizuri, then rudisha taarifa kama bado kuna tatizo
Sim card imekaa vizuri tu,nimejaribu now and then kutoa line na kuweka upya lakini habari ni ile ile,inazitambua line zilizoingia kwamba ni Airtel na VODACOM but ina display EMERGENCY call only,yaani ni kama kuna restrictions ya networks.
Sawa ni simu ya ki-china aina ya TECNO T1 ANDROID,nimeinunua katika hali nzuri tu,ina support internet na GPS vizuri sana lakini jana nilii-switch off then nikaitupia charge.Sasa leo nimeiturn on ina display emergency call.Nimejaribu ku-check settings lakini ni meshindwa ku-solve tatizo.Kama kuna anayejua plz naomba msaada.Kuna watu wataponda kwamba tatizo ni mchina lakini tatizo hili pia limemkuta mwenzangu akiwa na iPhone 4 yake,msaada plz,thanks in advance.
Duh!ushamba huu nao,inawezekana@king'asti coz muda wote ina display alama za aeroplane lakini nikicheck profile ipo katika GENERAL,sasa sijui wapi tatizo,anyway thanks kwa kunipa extra idea!Angalia settings, ubadilishe profile.inawezekana umeweka airplane mode, inazima network zote. Ingekuwa ni simcard ingekuambia insert sim.
Sim card imekaa vizuri tu,nimejaribu now and then kutoa line na kuweka upya lakini habari ni ile ile,inazitambua line zilizoingia kwamba ni Airtel na VODACOM but ina display EMERGENCY call only,yaani ni kama kuna restrictions ya networks.
Duh!ushamba huu nao,inawezekana@king'asti coz muda wote ina display alama za aeroplane lakini nikicheck profile ipo katika GENERAL,sasa sijui wapi tatizo,anyway thanks kwa kunipa extra idea!
so umegundua ulichemka wapi?Dah!natanguliza shukrani kwa wote mlonipa ushirikiano chanya,hatimaye nimerudi hewani na ninaendelea kutakata kwa speed kali na smartphone yangu ya tecno,thanks alot,JF ndo kila kitu.