Wandugu naombeeni msaada nna android phone kutokana na wimbi la wezi nna tafuta application ya kuinstall kwa simu ili incase wakiiba I can be able to track the thieves ntashukuru,hata kwenye laptop kama ningeijua pia.
avg antivirus, kwa laptop,kuna kampuni flani iko maeneo ya mwenge wanafany hiyo,wanaweka chip flan ndan ya pc,unalipia,ila sifahamu ni wap xactly na jina pia sijui.
avg antivirus, kwa laptop,kuna kampuni flani iko maeneo ya mwenge wanafany hiyo,wanaweka chip flan ndan ya pc,unalipia,ila sifahamu ni wap xactly na jina pia sijui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.