Msaada: Natumia Infinix Smart 6

Msaada: Natumia Infinix Smart 6

Inaonekana una uelewa mdogo sana kwenye kitu kinachoitwa thamani ya mtu na kitu..

Ni sawa unambie gari ni gari tu, haijalishi iwe Vitz au Landcruiser cha msingi ni kufika tu..!!!!!

Pole sana, inaonekana na wewe upo humo humo kwenye INIFINIKISI na TEKENOO
YES YOU ARE RIGHT .
 
Nenda kwenye settings tafuta kitu kinaitwa anti-inadvertent mode au pocket mode/mistouch prevention alafu iweke off. Sensor imechafuka ina misbehave.
 
Kumbe huangalii kitu bora, Ni vile una wamba ngoma sio, ngozi lazima ije kwako.
Yes your right

Simu ni simu tuu , cha msingi itimize Kila kazi mfano , kutuma sms , kutokea call au kutunza kumbukumbu .

Sawa Mr.Brand

Usilazimishe mtu akanunue simu ya Bei sawasawa na KIWANJA cha UKUBWA WA UREFU 30x30 mapana

Wakati anaweza nunua cha laki 3 akapelekea maisha mujarabuuuu kabisa .

Hata hizo za gharama kubwa Zina mapungufu yake .
 
Nimesoma maneno manne ya mwanzo nimeshindwa kuendelea. Pambana na hali yako
 
Nimesoma maneno manne ya mwanzo nimeshindwa kuendelea. Pambana na hali yako
Yes you are right

ENDELEA KUDHARAU VITU VIDOGO .

HATA SHILINGI MOJA INA THAMANI KUBWA SANA KWENYE MALIPO YA MILLIONI 1 (1,000,000)

HAUWEZI KUBALIWA BENKI , ULIPE LAKI TISA ELFU TISINI NA TISA MIA TISA TISI NA TISA (999,999)

KWA NUNUNUA BIDHAA KWA SABABU HAIJATIMIA MILLIONI 1.

MAANA BEI INAYO HITAJIKA NI MILLIONI 1 , SO USIDHARAU HATA SHILINGI MOJA ,

KI UHALISIA TUSIDHARAU HATA KI SIMU CHA ITEL MAANA KINA PERFORM KAZI KAMA ZA IPHONE TUU KASORO BAADHI..

#YES_YOU_ARE_RIGHT.
 
Nina mashaka sana na mzigo ulio kalisha katikati ya hayovmabega mawili.
 
Tenga ki ELFU 5 mpelekee fundi mwambie akifungue ki simu chako asafishe screen sensor maana Ina uchafu Kwa sababu ya vumbi , ndiyo maana inajizima zima screen pindi ukipokea simu na kuweka sikioni

This is the same like Kwa Infinix Tecno itel na nyinginezo smartphones family

Kununua simu ya milioni 5 wakati hiyo milioni 5 ni Bei ya kununua KIWANJA kikubwa na kizuri Kwa ajili ya kuanza Kujenga kiota chako ni liability walahi.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Ila watu wana dharau 😂😂😂
Hapana sio dharau😆😆

Nilitaka kumchangamsha kidogo mkuu, maana me naona kwenye infinix smart wapo kama kwenye smart 9 hivi sasa ndo maana nimeshangaaa

Hata hivo infinix, tecno na itel hizi simu zimetengenezwa kwa matumizi ya miaka miwili mwisho minne sasa smrt 6 toka 2020 mpaka Leo 🤣🤣
 
Khaa😂😂😂
Watu mna kejeli.

Mimi Nina Tecno Camon 18
Since 2021
Ni simu ambayo ipo tu,
Nabadilisha hizi nyingine ila yenyewe siwezi kuidump,,ipo tu kwenye pochi.

Sema smart 6 kitambo sana 2022 nilitumia...nikaibwaga
Nikabadili tena,,muda huo camon 18 yangu ipo hadi kesho labda niibiwe.
Na wa kuiba hayupo maana imechoka.
 
Hahahaha sasa wewe umesema una hizo nyingine ila huyu mtoa mada hana options 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom