Msaada: Natumia Infinix Smart 6

Msaada: Natumia Infinix Smart 6

Wengine wanahifadhi simu kwenye PC jamani
Tusiforce wote wanunue simu kubwa kubwa ๐Ÿ˜€
Hahaha ๐Ÿ˜‚, swali la kiuchokozi unadhani mtoa mada ana pc!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyway, utani tu asije akaja nitukana bure
 
Mpaka najiuliza anafanya nini humu.. Huyo inatakiwa aishie FESIBUKU
Nimecheka kinoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Me jf niliijua 2017 na nilikuwa naingilia button kiswaswadu nikawa siwezi kucomment ila nikaja kuanza kucomment baada ya kujiunga kwenye smart kitochi mwaka 2022 na saizi naenjoyyy buru burudani
 
Back
Top Bottom