kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Kuogea sabuni ya detol na kuosha kichwa kwa sabuni ya detol ni zoezi endelevu hata baada ya mtu kupona mba?Ogea sabuni ya detol
Osha kichwa na detol ya maji
Kila siku paka dawa ya fangas iitwayo white field ya kopo ( Bei 2000)
Hii white field unapaka Kama mafuta kila siku
Ukisema ni wew mwenyew Kwan Kuna shda gan mzee?Nasubilia ili nimtafutie rafiki
Medicated ni kama zipi? Hivi kumbe hizi mashine za salon zinaweza kuambukiza mba pi? Hasa kwenye kunyoa ndevu? Mafuta gani mazuri kupaka baada ya kunyoa ndevu ili kuepuka mba?Jitahidi usafi wa mwili ogea sabuni za medicated achana n superwash na whitewas
- Nenda pharmacy ulizia medicated soap utapewa(zipo nyingi mfano family & rungu hizi bei rahisi kidogoMedicated ni kama zipi? Hivi kumbe hizi mashine za salon zinaweza kuambukiza mba pi? Hasa kwenye kunyoa ndevu? Mafuta gani mazuri kupaka baada ya kunyoa ndevu ili kuepuka mba?
Hawezi kupaka mafuta ya nazi kichwani?
- Ogea sabuni ya dettol
- Kichwani paka olive oil
- Mwilini paka nivea
- Dawa ya mba ipo ya rangi ya kijani, haizidi sh. 3000
Nazi inaongeza mba kichwaniHawezi kupaka mafuta ya nazi kichwani?
Ahsante. Je, ikitokea umenyoa ndevu, ili kuepuka mba kidevuni na juu ya midomo, ni mafuta gani unakuwa unapaka?Nazi inaongeza mba kichwani
Nunua mafuta ya break dot 4 ya gari, tshs 3000 paka, kila siku mara moja, alafu uje ushukuru JFAm going breafly!
Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu.
Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Asanteni
Nenda duka la dawa mwambie nahitaji yale mafuta ya MBA ambayo yapo kwenye kikopo fulani hivi Cha kijani jina lake limenitoka ni ya mgando fulani hivi na mafuta yenyewe ni ya kijani pia yanatoka South Africa, hayo mafuta ndio kiboko ya MBA yanatibu kabisa kabisa hakikisha unapakaa kila siku asubuhi na jioni au usiku kabla ya kulala na hakikisha unamaliza kikopo kizima yaan umalize dozi nzima sio unafika Nusu unaona umepona unaacha kupaka yanauza 7,000/- nadhani labda Bei iwe imepandaNaomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga.
Nilitumia hayo mafuta yanatoka SA nilipoona completely mpaka leo sijui mba ni Nini nilikua nasumbuliwa sana usiku sipati usingzii, jina lake nimesahau Ila akienda pharmacy akiwaambia tu ninataka mafuta ya MBA kutoka SA yapo kwenye kikopo Cha kijani anayapata maana ni hayo tu na wale wa pharmacy wanayafahamu kwa hio lazima wampe hayo hayo, Mimi nilienda pharmacy nilikua nimesahau Jina nikawaeleza wakayaleta kajina kake ni kafupi tu hivi km Nivea au Vatka Ila sio Vatka yana jina lake limenitoka ukipaka hayo mafuta unapona from the first day unaanza kuona mabadirikoPole Sana mkuu,
Ngoja wataalam waje kukushauri
Hao mba wamesababishwa na mashine unayoitumia (kuchangia na mwenye mba); utatakiwa kutibu kwa kupaka hiyo dawa ya mba, mara 2 kwa siku, na kabla ya kutumia lazima eneo liwe safi. Ndani ya siku 3-5 tatizo linakuwa limeishaAhsante. Je, ikitokea umenyoa ndevu, ili kuepuka mba kidevuni na juu ya midomo, ni mafuta gani unakuwa unapaka?