masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,737
- 12,621
Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.
Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.
Naombeni msaada wa kisheria.
Uzi ufungwe.Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.
Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.
Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.
Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Ukifungwa hautatrend na watu wengi hawatauona.Uzi ufungwe.
Asante mkuu jumatatu naanza rasmi huu mchakato,nitakupa mrejesgoKwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.
Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.
Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.
Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Uzi usifungwe sababu haujafanya uhalifu wowote.Uzi ufungwe.
Mambo ya nssf naona hayahusiani na mkataba. Labda kama alikuwa kibarua. Hilo ni sharti la kisheria kwa kila muajilri.Anza na mkataba wako.mkataba unasemaje kwenye kipegere cha uchangiaji wa mafao ya mwajiriwa
Social Security Funds zote ni takwa la lazima kisheria, na hili halifungamani kivyovyote na mkataba ndio maana michango ya NSSF inategemeana na sera ya muajiri kwa namna atakavyo guswa kwamba ukitoa 10% nayeye atatoa 10%. Pia wapo waajiri ambao wamejiwekea sera ya kuchangia hadi 20% of your gross salary.Anza na mkataba wako.mkataba unasemaje kwenye kipegere cha uchangiaji wa mafao ya mwajiriwa
Ni kwenda NSSF halafu wao ndo wanamchukulia hatuaGuys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.
Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.
Naombeni msaada wa kisheria.
Mwalimu wangu shikamoo na samahani, naomba isomeke 'salary slip'..!Kwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.
Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.
Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.
Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Marahaba mwali, nimeipokea hoja kwa mikono mbili..🤝Mwalimu wangu shikamoo na samahani, naomba isomeke 'salary slip'..!
Hii ni hatua ya mwisho kabisa mkuu....Kama alikuwa hapeleki michango ni jukumu la NSSF kufungulia kesi na kukamata mali zake ili wewe na wengine weweze kulipwa. Ni kosa la NSSF walitakiwa kukagua na kufuatilia michango ila hawatakiri ila wabane wapambane nae wakusaidie kuapata hela zako nshoana kesi tatu za hivi na hela jamaa walizilipa NSSF baada ya kesi.
Ikiwa sina salary sleep napaswa kufuata taratibu gani kusudi niweze kupataKwanza nenda NSSF, kisha uwape namba yako ya uanachama alafu uombe contributions statement yako.
Baada ya kuipata then nenda tena kwa muajiri ikiwa itakua na baadhi ya michango haija wasilishwa akakujazie namba za malipo aliofanya kwenye form yako inayo onyesha michango.
Ikiwa itashindikana sasa, chukua salaries sleeps zako zikionyesha makato ama michango iliopaswa kwenda NSSF, kisha ambatanisha na barua ya kuondoka kazini then nenda ukaonane na meneja wa NSSF aliepo karibu na eneo lako.
Majibu utakayo yapata rudi tena hapa tukupe muongozo wa nini ufanye ama nani ukamuone.
All the best.
Wana app yao playstore jaribh kuipakua ujihudumieAsante mkuu jumatatu naanza rasmi huu mchakato,nitakupa mrejesgo
Weka swali lako vizuri mkuu, nafikiri sijakuelewa uzuriIkiwa sina salary sleep napaswa kufuata taratibu gani kusudi niweze kupata
Hadi pspf?Wana app yao playstore jaribh kuipakua ujihudumie
Mwanzoni mwa ajira sikuwa naelewa faida za salary sleep na hapa kazini huwa wanatoa salary sleep ya kila mwezi, siku tatu baada ya mshahara kutoka huezi pewa salary ikiwa hukuchukua ndani ya hizo siku tatu baada ya mshahara kutoka. Je ni taratibu gani naeza kufuata/kufanya kusudi niweze kupata salary sleep ya muda wote niliokuwa kazini?Weka swali lako vizuri mkuu, nafikiri sijakuelewa uzuri