Msaada: Nataka nikatafute maisha, nchi za kiarabu, maisha yakoje wa Non-Muslims?

Kuna msomali na mbagladesh na mghana wa kaskazin wote waislam tunabeba nao boksi hapa Denmark. Wanasema mzungu ni mtu bwana. Walishafanya kazi middle east huyu mghana na mpakistan saudia na msomali Qatar na dubai. Wanasema mateso na manyanyaso waliyopata kutoka kutoka kwa waarab hawatasahau licha ya uislam wao. Licha yautajir walionao waarab wa hiz nch mshahara waliokuwa wanapewa mdogo kazi nine nakufanyishwa kama mtumwa. Kwa ufup uwe muislam ama siyo jua ukienda huko wewe ni mtumwa. Ingia youtube ama ugoogle uone haya manafik yanavyotesa waislam wenzao kutoka nchi maskin. Njoo nchi za wakristo huku u one wasomali wairaq wakurd wabosnia na waislam wanavyoish kama pepon wengi wao tena bure

Basi jina la bwana lihimidiwe… kwakweli nchi hizi za kikristo unyanyaji ni mdogo kuliko huko kwa wavaa vipedo
 
labda uslim.

maana utashindwa taratibu za kiislam, pia watakuhukumu ww kafir.

tafuta nchi zingine

Kikubwa andika wosia kabla ya kwenda

Waarabu Si Binadamu Wa Kawaida,ni Bora Ukae Tanzania Tu Kama Umekosa Nchi Ya Kwenda,hapa Tanzania Ukiwa Na Akili Kabisa,hata Mtaji Wa Laki 5 Tu Unakutoa Kimaisha,epuka Bia,nyama Choma Na Waogope Kina Masai Dada,misschagga,preta,tinnacute,neggirl,ladyfurahia,faizafoxy,salamajay,hapa I Mean Waogope Wanawake Na Starehe Zote Kama Unataka Mafanikio Ya Kweli.

Nyie wagalatia hivi hamna hata shukrani kidogo?
Kuna waabudu masanamu ya wazungu km nyinyi mamilioni huko Arabuni.
Wamezagaa km utitiri na ukiwaambia warudi kwao huko bongo hawakubali hata kwa bunduki.
Wanafanya kazi ndogo kwa malipo makubwa!

Wengi wao wanaishi maisha ya juu kuliko nyie waganga njaa hapo Bongo!

Wagalatia ambao ni Wakimbizi haramu wamejaa Saudi arabia kiasi kwamba Wanaishi nyumba moja watu 30!
Matokeo yake wanajaza vyoo tu kwa shibe wanazopata huko.

Mwezi jana Serikali ya UAE imetoa mamilioni ya Dola kwa serikali yako bila masharti km wanavyoyatoa wale makafiri kila wanapotupa misaada.

Nyie na roho zenu za korosho hata wazazi wenu hamuwezi kuwashukuru kwa malezi waliowapa.

Samaki wahed!
 
Acha porojo. Hao wote waliozamia huko kufanya kazi za chini ni kwamba wamekosa nafasi ya kwenda USA na Europe kama wangepata wasingekua arabuni.

Hata wasomali na waislam wote wanatukana USA na ulaya ila wamejazana ulaya na US kuliko idadi ya walio UAE na Saudia

Najua unatetea waarabu Sababu ni rangi ya mtume na kila muarabu unamtukuza kama mtume lakini hawa jamaa sio watu ni wanyama

Kwa mleta uzi- kama una kazi maalum nenda arabuni kunalipa maana wao shule hawawezi ila kama ni kubeba box nenda ulaya au USA
 
Nyie wagalatia hivi hamna hata shukrani kidogo?
Kuna waabudu masanamu ya wazungu km nyinyi mamilioni huko Arabuni.
Wamezagaa km utitiri na ukiwaambia warudi kwao huko bongo hawakubali hata kwa bunduki.
Wanafanya kazi ndogo kwa malipo makubwa!

Wengi wao wanaishi maisha ya juu kuliko nyie waganga njaa hapo Bongo!

Wagalatia ambao ni Wakimbizi haramu wamejaa Saudi arabia kiasi kwamba Wanaishi nyumba moja watu 30!
Matokeo yake wanajaza vyoo tu kwa shibe wanazopata huko.

Mwezi jana Serikali ya UAE imetoa mamilioni ya Dola kwa serikali yako bila masharti km wanavyoyatoa wale makafiri kila wanapotupa misaada.

Nyie na roho zenu za korosho hata wazazi wenu hamuwezi kuwashukuru kwa malezi waliowapa.

Samaki wahed!

Wewe unakuja na mipasho kama vile mwimba taarabu. La ukafiri sitaki kulizungumzia sana kwani hata kwa misingi ya dini yangu wewe ni mtu usiye na dini. Hebu jiulize tu waarab wenyewe wanakimbilia ulaya na marekani, mbona tusiwasikie wakikimbilia huko? Kwa kifupi kukaa na mwarabu karibu is like dining with the devel , you need a long spoon.
 
Ushauri mzuri sana. Mtoa mada ni mdini, wala asiende huko. Manake kama ukikutana na mtu ukaanza kuwaza dini yake basi ujue una matatizo. Huyu ataenda kutia pua kwenye imani za watu na watamshughulikia bila chenchi
Mkuu, kwanza nianze kukufahamisha kuwa mimi si mwislam na nimekaa madinna miaka 4 hadi nilipoamua mwenyewe kurudi tz. Nachoweza kukushauri ni kwamba; iwapo una profession yako, waarabu watakuheshimu sana na utafanya nao kazi bila tatizo lolote. Lakini iwapo unatafuta kazi za mtemvu (u-house boy), unaweza ukaona maisha ni magumu sana kwako.

Iwapo utaenda huko hata kama una profession yako au vinginevyo, jitahidi usiingilie mambo ya dini yao au kwa kuikashifu au kwa kuwashawishi watu waachane nayo. Waarabu wanapenda sana dini yao na wanaweza kukufanyia kitu mbaya ukionekana unaleta upinzani. Otherwise ni watu wenye upendo bila kujali dini ya mtu.
 
Kinacho tuharibia watu weusi ni mabaya walioyafanya au wanayoyafanya wenzetu au ndugu zetu mara wafikapo huko kwenye nchi za watu....unakuta huko nchi zingine watu weusi wanavuma kwa utapeli..uuzaji wa madawa ya kulevya..unyang'anyi na wizi wa magari...sasa hata ukienda mtu mstaarabu na mwenye tabia njema inakuwa ngumu kuaminika...matokeo yake wanakuona wote ni wale wale tu...
 
King'asti Vitu vingine huwezi kutovizungumzia when it comes to life,Wao husema uislamu ni FULL UTARATIBU WA MAISHA.
 
Last edited by a moderator:
King'asti Vitu vingine huwezi kutovizungumzia when it comes to life,Wao husema uislamu ni FULL UTARATIBU WA MAISHA.
 
Last edited by a moderator:
Unaulizia tabia za waarabu kwani hawaoni hapa Tanzania walivyo ulishamuona mfanyakazi wa muarabu au muhindi mkristo unskilled labor au ana maisha mazuri wengi wao wamechoka hawana mbele wa nyuma na ukishafanya kazi kwa muhindi au muarabu hautakaa uendelee maisha yako yote.

Wengi huwa wameshaharibiwa akili na nyota kazi kuwasifia na kuwanyenyekea tu ninawajua wengi sana sasa kama hawa wanaonufaika kwenye ardhi yako wako hivi vipi hao asilia huko asilini?
 
Sasa wewe umeenda kufanya kazi, utaratibu wao wa maisha unakuhusu nini? Ukifika mahali anagalia tamaduni zao, jichanganye kuepuka attention. Mie na vikaptula vyangu nikienda uswahilini navaa nguo ndefu japo kidogo ila sio ya kuburuza.

Fanya yako, rudi kwako ukasali kwa dini yako.
King'asti Vitu vingine huwezi kutovizungumzia when it comes to life,Wao husema uislamu ni FULL UTARATIBU WA MAISHA.
 
Last edited by a moderator:
Kama una asili ya esrow au udokozi kule usiende wao hawataki ujinga huo watakufunga au katwa mkono.
Ukiwa unataka fanya kazi ya udada nyumba bora katafute pweza ferry ukaange uuze mpaka jioni unayo 40 thous.
Ama ukiwa proffesional ukipata ulwa kuzuri.
Nchi kama uae saudia oman qatar bahrain kuwait zina foreigners kila sectors.
Pia secta ya hotel mfano kuna wakenya zaidi ya 1000 wapo uae katika secta hio katika hotel za nyota 3 kuendelea.
Muhimu kufanya kazi sio longo longo.
Pia kumbuka wabongo wana sifa mbaya kila sehemu duniani. Hata hapa nyumbani waajiri wengi wana prefer ma tx wakiwemo wakenya na wadosi.
Hivyo ukikosa usitafute mchawi
 
Nyie wagalatia hivi hamna hata shukrani kidogo?
Kuna waabudu masanamu ya wazungu km nyinyi mamilioni huko Arabuni.
Wamezagaa km utitiri na ukiwaambia warudi kwao huko bongo hawakubali hata kwa bunduki.
Wanafanya kazi ndogo kwa malipo makubwa!

Wengi wao wanaishi maisha ya juu kuliko nyie waganga njaa hapo Bongo!

Wagalatia ambao ni Wakimbizi haramu wamejaa Saudi arabia kiasi kwamba Wanaishi nyumba moja watu 30!
Matokeo yake wanajaza vyoo tu kwa shibe wanazopata huko.

Mwezi jana Serikali ya UAE imetoa mamilioni ya Dola kwa serikali yako bila masharti km wanavyoyatoa wale makafiri kila wanapotupa misaada.

Nyie na roho zenu za korosho hata wazazi wenu hamuwezi kuwashukuru kwa malezi waliowapa.

Samaki wahed!
Wewe jamaa kiazi sana. Huna tofauti na uhato wa wasira. Umeongea pumba sana ila ulichoongea muuslam wa kawaida ndio anaamini hivyo wewe unawawakilisha waislam wote waliopita madrasata alnusura abunuasi el zero brain.
 
Back
Top Bottom