Msaada: Nataka kwenda Nairobi

Msaada: Nataka kwenda Nairobi

Ukipita tarakea utapata temporary pamit. Nenda kiserian kule wanakaa watu wa hali ya kawaida na wa juu. Ila uwe na mpunga wakuzugia. Mimi nimetokea huko jana na sasa nipo rchuga kesho kutwa natia team dar. Nilipita namanga wakataka kunipandisha kwa landrover kisa sina passpot wakataka buku nikawapa mia nne wakanitema. Chukua tahadhari wasikupeleke kwa mahakama
 
Ama unaweza waambia wakushushe gong wakat ukiwa unatoka tarakea utapanda matatu ya gong. Ni kamji kamechangamka kidogo kama bugurun au manzese
 
ahsante mkuu!!!

NAIROBI ORPHANAGE,TEMBELEA HUKU.OTHERS UKIENDE TAFUTA MWENYEWE
bolt.jpg


2Q==


2Q==

Nairobi-Animal-Orphanage-and-Safari-Walk.jpg

baby-orphanage.jpg


panari ski centre mombasa raod nairobi
Hockeytutorial.com-Solar-Ice-Rink-at-Panari-Sky-Centre-Hotel-Nairobi-Kenya-Ice-Hockey-11.jpg


ruby-skater.jpg


Nairobi-National-Park-5.jpg


nairobi national park.ndani ya jiji

Nairobi%20Museum.jpg

karibUNi.jpg


UN OFFICES
1338622620-nairobithika-superhighway-gets-road-markings_1215526.jpg

THIKA ROAD
maxresdefault.jpg


HAPA USIENDE PLEASE NI STRIPPING CLUB.UTAPOTEA MKUU


nightclub-casablanca.jpg
MOMBASA

UHURU PARK KATIKATI JIJINI NRB
Uhuru_Park.jpg


Carnivore_Rest.jpg
 
Nairobi hua tunakwenda kwa ndege. ndege nzuri ni KQ

much know wengi, huwa wanachemsha kujibu maswali kama wewe,
mdau kauliza basi, wewe unamwambia habari za ndege,
unadhani hajui kuwa kuna ndege zinakwenda huko?
 
huyo anajuaaaa jnsi ya kwenda nairobi...
 
Dar-ex,Sai baba,Spider(Hii inaenda Kampala)lakini inapitia Nairobi..kwa budget yako angalau..nauli inategemea na basi..ila ni kuanzia 50 elfu..usiogope mkuu,mengine kawaida tu..
 
Mabasi ya kuaminika panda Dar Express kwenda Nairobi. Kufikia hoteli ambayo utakuwa na uhakika unaweza fikia Kipepeo.
Uwe makini na wakora sawa, pia mabomu kwasasa si unajua Al shabaab hawatabiriki.
Safari njema.

Bantu lady wewe huwa unafikia Kipepeo??

I slept there 5 yrs back...mataulo yao noma sijui kama wamechange
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mimi nataka passport lakini sina chet,kilipotea wakati mama na baba walipoachana ila sasa ninakitambulisho cha taifa tu nifanyeje?
 
Back
Top Bottom