Singa Singa
Member
- Dec 12, 2014
- 47
- 46
Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani
haahaa haa haa akajipange upya kama ni ulaya au merekaniMarekani sio Ulaya
Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani
mmmh.......unashingapi nikupe mchonho tatizo nyie mnangania dar
embu ni pm nikupe mchongo

Mchongo wa kwenda kulima ufuta Kamsamba au kwenda kulima mahindi kule Basoutu?
Sidhani kama atakuelewa..
eroo! takwenya.
SASA Singa Singa SI UMWONE Habirnder Seth Singh....ATAKUSAIDIA
pengine hawa ndio wale tunaoambiwa wana piga box kikikikikikikiKaribu sana AMERIKA mkuu....mimi nipo TEXAS......
hahahahahahhh JF members never stop breaking my ribs.... I am ready to assist him I need a maasai man! Its me Rihanna.eroo! takwenya.
Ni kweli mkuu...watu wengi wanafuata mkumbo...America bila kazi inayoeleweka na papers ni Hell....kuna watanzania wengi sana wanaishi barabarani hawana papers...tatizo la nchi zilizoendelea ni kama unavyosema kila kitu kiko structured hamna loopholes...kwa hiyo no matter how much you earn inaishia kwenye kodi na bills...na kama hauna skills utakoma....msimu huu wa winta kazi ni kuzoa barafu...dola 10 kwa saa...ni kazi ngumu sana unakuwa hoi kabisamarekani..ulaya...popote
ningekuwa wewe ningejichimbia ma wilayani kwenye fursa....
Huko uendako utapata mahitaji muhimu tu.....
Lakini ni bahati sana kumiliki uchumi. Makato ni mengi..hakuna 'loophole' kama hapa bongo.....