Msaada nataka kwenda Afrika Kusini

Msaada nataka kwenda Afrika Kusini

South hamna ussue. Tafuta ule uzi wa kongo ndo utajua hela ipo kongo na sio south.
South qatakutoa roho.
Kongo subiri uchaguzi uishe usepe ukapige hela.
Shida yangu south bila kujali maisha ya namna gani
 
sasa kwa akili zako mwaka na nusu ulitegemea awe tajiri? acha dharau au kwa vile wewe shemeji yako kakupa mchongo
 
Najua wapo wa kunivunja moyo ila ni kwamba nimezamilia

Naitaji maelezo au ushauli kuhusu mpango wangu wa kwenda south Africa

Mimi ni fundi wa magari lakini nikaamua kwenda kuingeza ujuzi nimeenda VETA kusomea welding and metal fabrication

Lengo langu kubwa natamani nikatafute maisha south Africa

Nahitaji kujua nini nifanye,gharama za safari,vipi ntaanza maisha nk

Mwenye kuweza kunipa maelezo ntashukuru

.NB
Haya ni mawazo yangu na hisia zangu pengine ukawa ni upuuzi kwako ila kwangu ni jambo zuri ......
Fundi magari huku dili sana njoo fasta
 
kwani hajarudi mpaka leo😂😂😂
Badoo mkuu, siku hizi hadi simu ya kuingilia jf anaazims sijui aliibiwa au aliuza. Ila cha msingi ni kupambana, mi namdhauri abakiko huko aendelee kupambana tu aseee.
 
Badoo mkuu, siku hizi hadi simu ya kuingilia jf anaazims sijui aliibiwa au aliuza. Ila cha msingi ni kupambana, mi namdhauri abakiko huko aendelee kupambana tu aseee.
aende soweto akawe kinyozi alaf zile pande wa bongo kama wote hawezi kosa chochote kitu
 
South hamna ussue. Tafuta ule uzi wa kongo ndo utajua hela ipo kongo na sio south.
South qatakutoa roho.
Kongo subiri uchaguzi uishe usepe ukapige hela.
Niuzi upi huo kiongozi,Namm nina plan ya kwenda Congo,huko south tumesha pambana sana lkn wabongo ss hatuna ushirikiano km wenzetu wapopo hata Kenya au warundi ss ni chuki tu na kuleteana wazee wa mchongo
 
Back
Top Bottom