steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
Najua wapo wa kunivunja moyo ila ni kwamba nimedhamiria
Nahitaji maelezo au ushauri kuhusu mpango wangu wa kwenda Afrika Kusini
Mimi ni fundi wa magari lakini nikaamua kwenda kuongeza ujuzi nimeenda VETA kusomea welding and metal fabrication
Lengo langu kubwa natamani nikatafute maisha Afrika Kusini
Nahitaji kujua nini nifanye,gharama za safari,vipi ntaanza maisha nk
Mwenye kuweza kunipa maelezo ntashukuru
.NB
Haya ni mawazo yangu na hisia zangu pengine ukawa ni upuuzi kwako ila kwangu ni jambo zuri ......