mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,219
- 106,783
Nasubiria jibu??? +Naomba nkulize swali moja tu?
HIVI HUYO ANAYEKUTUMIA HIYO HELA UNAMJUA/MNAFAHAMIANA?????
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiria jibu??? +Naomba nkulize swali moja tu?
HIVI HUYO ANAYEKUTUMIA HIYO HELA UNAMJUA/MNAFAHAMIANA?????
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa
Vipi ulishatuma ile hela ya awali?
Ngosha bwana pole uwe unauliza kwanza
Haya umeokolewa hela zako chache ulizonazo,enenda ukaishukuru JF na uache tamaa na ushamba
Haha 🤣🤣🤣🤣🤣Ngosha bwana pole uwe unauliza kwanza
Huo ukanda unaongoza kwa mambo ya kitapeli. Kuwa makini
Aisee alafu kajiunga jf 2011Ngosha bwana pole uwe unauliza kwanza
Kuwa makini na watu wa huko. Unawezaingizwa matatani kwa kuibiwa au kushirikishwa utakatishaji wa fedha
Mie nimeshamuelewa. Hapo kakumbana na wale matapeli wanaosema wako ukimbizini kwenye kambi za wakimbizi ila waliondoka na pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani huyu anatapeliwa mchana kweupe.huo utapeli mbona wa kizamani sana .Mleta mada mshamba wacha wamlize mjinga mkubwaMkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.