Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,546
- 4,486
Zuhura Yunus keshaolewa sasa hivi reporter wa CCM
Shauri yenu sijawahi kuona mwanaume anabadili dini kisa demuWhat a Rubbish.
Kwanini mkuu.Mh! Aliyeandika Bible ndiye huyo huyo aliyeandika kuran, ili kuwafanya wafia dini wawe wapumbavu...
Wanawake wazuri ni kuwalinda labda awe anajitambua.Na kuachan pia Ni faster sna bila kupotezaa Muda ingawa mm huyu bint siwez kumuacha aloo Kuna vingi sna amenisaidia kwa kipindi kifupi mno je tukikaa nae mwaka mmoja aloo hayaa kuwa kwenye v8 gxr siyo mchezo Ni bhati mno
Aaaaah wapo bana..Shauri yenu sijawahi kuona mwanaume anabadili dini kisa demu
Punguza ujinga wewe,huo uzushi nenda kawaandikie nyumbani kwenu.Asije akajaribu hilo wataondoka na hiyo shingo chap!Huko ajue akiingia siku akithubutu kutoka kichwa anawaachia.
Mleta mada fanya kama walivyokuelekeza wenye dini yao hapo juu lakini kaa tulia fikirisha akili hiyo kwamba sababu ni huyo mwanamke tu au umeisoma hiyo dini ukaielewa?
Soon nakuja huko, maana tumefikia sehemu ya kubagen bei ya kubadili jina tu sasa[emoji848]Inabidi weny akili kubwa Kama zangu ndio tufanye nao Kaz kak Kama SAS unataka ufie kwenye umaskini kisa dini Ni ujinga snaa kak karibu tuungane
Wee mjinga nn unataka nikamuoe mke wa mtuZuhura Yunus keshaolewa sasa hivi reporter wa CCM
Kwahiyo kwavile wewe hujawahi kuona ndio ina maanisha hakuna? umesha ona vitu vyote vilivyomo humu Duniani?Shauri yenu sijawahi kuona mwanaume anabadili dini kisa demu
Wewe unamfuata mwanamke meaning mkioana huna sauti maana alikubadili dini saivi nipoa ila kwa baadae nikazi sana ujui tuKwahiyo kwavile wewe hujawahi kuona ndio ina maanisha hakuna? umesha ona vitu vyote vilivyomo humu Duniani?
Kuran yenyewe ndiye inathibitisha hilo, maana karibia vitabu vingi vilivyomo vimenukuliwa toka kwa Biblia... Na kuran imekili kutoa mafunzo kutoka kwenye bible.Dhibitisha kak usemalo wew kuwa mwandishi ni mmoja wa vitabu hvyo
Mawazo ya kijinga kabisa haya,Wewe unamfuata mwanamke meaning mkioana huna sauti maana alikubadili dini saivi nipoa ila kwa baadae nikazi sana ujui tu
Nimemuelewa sana jamaa.Tunatakiwa kwenda kimchongo-mchongo dunia hii...
Wewe huwazi ukweli wa maisha Adam hakumfuata eva ni eva alimfuata adam chefu , mbona nyie wanaume wakislam hawabadili dini ni mwanamke anabadili . Hata iweje?? Toa mifano hai waslamu wangapi wamebadili dini kuwafuata wanawake wakristo hebu tupe mifano hakunaga ila mitahira mikristo ndio inayotudhalilisha kama hili jitu hapaMawazo ya kijinga kabisa haya,
Kwanini usiwaze kua,huyo Mwanamke atampenda zaidi coz amebadili mpaka dini kwa ajili yake? kwanini uwaze negative tu?
HV shule gani ulisoma dad au ulikwenda kusomea ujinga hukoWewe unamfuata mwanamke meaning mkioana huna sauti maana alikubadili dini saivi nipoa ila kwa baadae nikazi sana ujui tu
Wee Ni mjing sna unique .....ficha ujinga wakoWewe huwazi ukweli wa maisha Adam hakumfuata eva ni eva alimfuata adam chefu , mbona nyie wanaume wakislam hawabadili dini ni mwanamke anabadili . Hata iweje?? Toa mifano hai waslamu wangapi wamebadili dini kuwafuata wanawake wakristo hebu tupe mifano hakunaga ila mitahira mikristo ndio inayotudhalilisha kama hili jitu hapa
Mimi nimeongea kile nilichoambiwa na mmoja wenu ktk kundi na nikaamini.Punguza ujinga wewe,huo uzushi nenda kawaandikie nyumbani kwenu.
Kwani huyo Eva alikua dini gani? na dini ya Eva wewe umeijuaje? leta na evidence kabisa.Wewe huwazi ukweli wa maisha Adam hakumfuata eva ni eva alimfuata adam chefu , mbona nyie wanaume wakislam hawabadili dini ni mwanamke anabadili . Hata iweje?? Toa mifano hai waslamu wangapi wamebadili dini kuwafuata wanawake wakristo hebu tupe mifano hakunaga ila mitahira mikristo ndio inayotudhalilisha kama hili jitu hapa
Haya ngoja tu mtaona ukweli upo mbona nyie waslam hambadili dini kwa wakristo wanawake ni wakristo wanaume tu ndio wanabadili dini??HV shule gani ulisoma dad au ulikwenda kusomea ujinga huko
Ni vyema tukaheshimu maamuzi ya watu na kuheshimu dini za watu
Jifunze Hilo
Bab Ako alikuridhisha dini huo Ni ujinga
Watu tunaridhishwa Mali na siyo dini